Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni kobello. Unajua kilichoulizwa hapa? Yaani kuendesha gari au kutumia chombo cha muziki kuna uhusiano na elimu ya darasani?Elimu imepoteza mvuto lakini haijapoteza quality. Quality ya elimu imeongezeka.
Zamani mzee ana phd lakini movie ikiisha kwenye deck anapiga kelele Kobello!! kisa nikabadilishe VCR, yaani amekulia kijijini hata kujifunza kuplay VCR hataki hata kufikiria. Hayo ni matokeo uya elimu duni.
Sema watu wengi wana elimu siku hizi hata ukimuona mwanamke anaendesha gari hushangai, wakati ilikuwa ni nadra sana.
Shule za serikali na za taasisi za kidini kuna kusomea ujinga kwingi zaidi ya kuelimika.Bwana mdogo Farhan Jr kupitia ukurasa wake wa instagram alianza kwa kuuliza swali kama ifuatavyo 👇
View attachment 2867366
Naona jamaa kagusia CHIPUKIZI hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Mwingine huyu hapa [emoji116]
Kuna uhusiano mkubwa sana, tena sana kaa ujiulize usikurupuke.Kweli wewe ni kobello. Unajua kilichoulizwa hapa? Yaani kuendesha gari au kutumia chombo cha muziki kuna uhusiano na elimu ya darasani?
🤣🤣🤣🤣Kobello alikuwa mchezaji maarufu kwenye team Moja ilikuwa inaitwa Bushstars. wahenga tunaijuaKweli wewe ni kobello. Unajua kilichoulizwa hapa? Yaani kuendesha gari au kutumia chombo cha muziki kuna uhusiano na elimu ya darasani?