GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nawewe umeamini hilo 🤣 subiria utakapomuona analiwa na Kevin Hart ndio utajua kumbe waliowaita nyoka hawakukosea!Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.
Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.
Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo ( Mbilikimo ), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi ( Sura Mbaya ) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
Picha yake Tafadhali full body viewHaya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.
Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.
Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo ( Mbilikimo ), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi ( Sura Mbaya ) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
Na akivaa nguo nyekundu unaweza sema m pesa man..Hata sisi hatupendi wanawake vibonge kama vibanda vya M pesa
Mkuu ulishamcheki akienda kuketi kabla ya kusoma habariNa akivaa nguo nyekundu unaweza sema m pesa man..
Ahhh acha mzee, ile kazi safi 😋mkuu ulishamcheki akienda kuketi kabla ya kusoma habari
Kabla hujanyoa O nikufahamishe tu humu kuna mlaji wa bidhaa hiyo aliwai kutoa ushuhuda bi dada hana antena.Ngoja nianze kunyoa O sasa
ha ha nimecheka sanaHaya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.
Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.
Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo (Mbilikimo), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi (Sura Mbaya) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.
Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.
Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo (Mbilikimo), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi (Sura Mbaya) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
Oeni Ndugu ZanguHivi kumbe hajaolewa🧐🧐🧐wajumbe tulegezeni masharti tuwaoe tu

Hakika nawaahidi 2030 panapo majaaliwa yake rabana taoaOeni Ndugu Zangu