OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimeshindwa kuendelea na hii story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hata kama alimkosea mkewe yule kwa namna gani ila haki zoooote zitakuwa kwake kwa kitendo alichofanyiwa!Kuna stori ya upande wa pili alitakiwa kuisema. Naamini mke wake sio kichaa aamke amchome kisu bila sababu. Lazima uvumilivu uliisha kutokana na matendo flani.
Wanaume tukumbuke kwamba wanawake nao ni binadamu wanapata hasira pia kwa mambo kama usaliti n.k
Mvivu wa kusomaNimeshindwa kuendelea na hii story
Hapana sio mvivu ila nimesikitishwa na ushetani wa hawa wanawakeMvivu wa kusoma
Huu mtifuano hautakuja uishe. Mungu alete gharika la nuhu. Kizazi kianze upyaIla kwa mwanamke basi anakurupuka tu usingizini anamchoma mume kisu eeh!! Acha kutetea ujinga wewe.
Hata kam anaficha, sisi tunaangali hilo lankumtigua mtu kisu. Yeye angemtifua mkewe, haijalishi sababu mngeandamana. Kwann huyo mwanamke qmtifue mwenzie kisu?Kuna vitu anaficha, ukimsikiliza unaona kabisa kuna vitu haviko sawa.
Kwa hiyo unahukumu kwa kusikiliza upande mmoja, ili story ibalance na uweze kuhukumu ungesikiliza na upande wa pili, kwa akili yako unahisi huyo mwanamke alibeba kisu na kumchoma mwenzie bila sababu.Hebu msikilize vizuri bwana faruq
Kuna malaika hapo juu anamwandikia haki huyo aliyechomwa kisu kwamba hakuna sababu iliyokuwepo huyo mwanamke alimchoma tu kwa sababu anaroho mbaya[emoji119][emoji119][emoji119]Kuna stori ya upande wa pili alitakiwa kuisema. Naamini mke wake sio kichaa aamke amchome kisu bila sababu. Lazima uvumilivu uliisha kutokana na matendo flani.
Wanaume tukumbuke kwamba wanawake nao ni binadamu wanapata hasira pia kwa mambo kama usaliti n.k
Kwahiyo mkuu bora tufutike tu duniani ili tuanze upya🤣🤣Huu mtifuano hautakuja uishe. Mungu alete gharika la nuhu. Kizazi kianze upya
Amelamba uteuzi...🙂Kafanywaje?
Sio nyie huwa mnashangilia mkituchoma na magunia ya mkaa? Hebu shangilieni na hili tafadhali.Hata kam anaficha, sisi tunaangali hilo lankumtigua mtu kisu. Yeye angemtifua mkewe, haijalishi sababu mngeandamana. Kwann huyo mwanamke qmtifue mwenzie kisu?
Mkuu nipe sababu yoyote ambayo mtu anatakiwa kuchomwa kisu na mkeweKwa hiyo unahukumu kwa kusikiliza upande mmoja, ili story ibalance na uweze kuhukumu ungesikiliza na upande wa pili, kwa akili yako unahisi huyo mwanamke alibeba kisu na kumchoma mwenzie bila sababu.
Hakuna sababu yoyote inayowezafanya mtu kumdhuru mwenzie, isipokuwa watu wanajaribu kutetea ujinga kwamba yule mwanamke alifanya hilo tukio bila kuwepo sababu kati yake na mmewe.Mkuu nipe sababu yoyote ambayo mtu anatakiwa kuchomwa kisu na mkewe