Faruku Mhamadi: Mke wangu alinichoma kisu nikiwa usingizini

Faruku Mhamadi: Mke wangu alinichoma kisu nikiwa usingizini

Kwahiyo mkuu bora tufutike tu duniani ili tuanze upya[emoji1787][emoji1787]
100% kizazinkianze upya. Dunia imekua chafu sana. Wanaume ushoga., wanawake mafeminist. Hakuna hata raha ya maisha tena
 
Sio nyie huwa mnashangilia mkituchoma na magunia ya mkaa? Hebu shangilieni na hili tafadhali.
Okay kwa hili mmetutifua. Tulieni nanyie tuje kuwa tifua. Msije hapa kulalamika. Ooh, wanaume makatili, no. Mlituchoma na petrol, tukawa wadogooo
 
Wanawake wa sasa wanajisagia kunguni wenyewe. Kwa sasa itakuwa mwendo wa chapa ilale
 
Baba aliniambia, "Mwanangu ukiona huelewani na mkeo, muache aende kwa amani" Haya mambo ya mara mmeachana kesho mmerudiana mwisho huwa madhara. Ndio maana mm kila siku husa nasema hapa x harudiwi. Huwa hamnielewi.

Mm mwaka jana nilimwacha mchumba wangu miezi minne kabla ya ndoa. Sababu alitaka kunywa sumu baada ya kumwambia gauni lako la harusi tutakodi ili kupunguza gharama, yy akawa analazimisha ashone la kwake kama kumbukumbu.

Mpuuzi sana yule mwanamke. Baada ya kufanikiwa kumzuia asinywe ile sumu. Niliapa kumuacha aende kwa amani japo nilimlipia mahari.

Hadi leo sitaki hata kumsikia, ametafuta suluhu ila mm sitaki tena. Maana mwisho ndio huu sasa, mnaanza kutifuana visu.

Mwanamke au mwanau ulimuoma kabisa hakufai mkaachana. Kesho unamuona tena anafaa sio kweli. Mtakufa vibaya nyieee

Nakadori njoo usome ujumbe wako hapa. Uachane na mambo ya kurudiana na x wako yule mzee[emoji1787]
Sipendi kuitwa kwwnye vitu visibyoeleweka
 
Tunaishi na Viumbe wa aina yake ambao Kuna wakati wanakuwa wanyama kwa sababu zao tu yaani anaamua kuwa huyu Leo nitamuwekea sumu au nitamchoma kisu au nitamziba pumzi na mto! Huna hili wala lile kumbe mwenzio analo hili na lile na anataka kulitimiza ukilala
 
Kuna binadamu wana roho mbaya, umchome mtu kisu alafu utake kukimbia na utumbo wake...
 
Kuna stori ya upande wa pili alitakiwa kuisema. Naamini mke wake sio kichaa aamke amchome kisu bila sababu. Lazima uvumilivu uliisha kutokana na matendo flani.

Wanaume tukumbuke kwamba wanawake nao ni binadamu wanapata hasira pia kwa mambo kama usaliti n.k

Hakika umenena. Huyu bwana kuna kitu anaficha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kam anaficha, sisi tunaangali hilo lankumtigua mtu kisu. Yeye angemtifua mkewe, haijalishi sababu mngeandamana. Kwann huyo mwanamke qmtifue mwenzie kisu?
Kuna yule jamaa wa Mwanza kama sijakosea alitandika mkewe risasi kibao mbona haya mabango yenu hatukuyaona? Huwa mnadhani wanawake hatuna mioyo tuna matofali eti?alafu Jamaa yenu kuna mambo anaficha yule mkewe sio chizi aamke tu amchome kisu mumewe, acheni kumtetea kisa ni mwanaume mwenzenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom