Faruku Mhamadi: Mke wangu alinichoma kisu nikiwa usingizini

Kwahiyo mkuu bora tufutike tu duniani ili tuanze upya[emoji1787][emoji1787]
100% kizazinkianze upya. Dunia imekua chafu sana. Wanaume ushoga., wanawake mafeminist. Hakuna hata raha ya maisha tena
 
Sio nyie huwa mnashangilia mkituchoma na magunia ya mkaa? Hebu shangilieni na hili tafadhali.
Okay kwa hili mmetutifua. Tulieni nanyie tuje kuwa tifua. Msije hapa kulalamika. Ooh, wanaume makatili, no. Mlituchoma na petrol, tukawa wadogooo
 
Wanawake wa sasa wanajisagia kunguni wenyewe. Kwa sasa itakuwa mwendo wa chapa ilale
 
Sipendi kuitwa kwwnye vitu visibyoeleweka
 
Tunaishi na Viumbe wa aina yake ambao Kuna wakati wanakuwa wanyama kwa sababu zao tu yaani anaamua kuwa huyu Leo nitamuwekea sumu au nitamchoma kisu au nitamziba pumzi na mto! Huna hili wala lile kumbe mwenzio analo hili na lile na anataka kulitimiza ukilala
 
Kuna binadamu wana roho mbaya, umchome mtu kisu alafu utake kukimbia na utumbo wake...
 
Wakiiona wa kataa ndoa , tumekwisha.

Crouds~Clouds
dronedrake
Mzee wa kupambania
Liverpool VPN duuujh aseee mi nakataaaaa ndoa acha nisemwe na dunia yote mmmmh huuu ukurumbembe siuwezi aseee duuuh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Eeh Mungu tusaidie sisi wanaume
 
Tulishawaambia NDOA NI UTAPELI wanabisha na bado πŸ˜€
 

Hakika umenena. Huyu bwana kuna kitu anaficha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kam anaficha, sisi tunaangali hilo lankumtigua mtu kisu. Yeye angemtifua mkewe, haijalishi sababu mngeandamana. Kwann huyo mwanamke qmtifue mwenzie kisu?
Kuna yule jamaa wa Mwanza kama sijakosea alitandika mkewe risasi kibao mbona haya mabango yenu hatukuyaona? Huwa mnadhani wanawake hatuna mioyo tuna matofali eti?alafu Jamaa yenu kuna mambo anaficha yule mkewe sio chizi aamke tu amchome kisu mumewe, acheni kumtetea kisa ni mwanaume mwenzenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…