Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible.
👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi.
Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi.
👉Fast furius vs mission impossible.
View attachment 2771997View attachment 2771998
Io Badoo ngoja niitafuteeVipi equalizer 3 Ume iangalia??, Ni 🔥🔥
Equalizer Ime toka, itafute site ya yts mzeeHivi hii equaliser 3 ipo net naija? Maana nikesikia net naija nayo kama inashida vipi jamani ishakaa sawa? Nisije nikaishusha nikakutana na mapichapicha wakati mbs za kidebe zishaenda
Ile scene ya treni ziki anguka ni 🔥Bado Gabriel hajafa
Bado Sevstopol haijaonekana, hivyo reckoning 2 itakuwa hatari
😆😆😆, Ume Amuaa kuwa lipua 😆Vin disel alipigwa shaba kwenye captain ryan
Yeah mm ni 🔥🔥, ff kapoteza theme yake ya siku zoteMM unaangalia huku unasisimuka, hii FF acha watoto waendelee iangalia haina mvuto sikuhz
Pamoja Kaka, tusubiri part 2Mission impossible
Tuna subiri part 2 ya dead reckoning, maana Gabriel hajafa.Mission Impossible ina balaa sana
Nimeona mapato yake ni hatari tupu. 560mil usdIle scene ya treni ziki anguka ni [emoji91]
Gerald Butler ni kisanga kingine, ana jua sanaFast and furious ni movies za moto sana,lakini hazishindi movies za jamaa mmoja anaitwa Gerard Batler,chek movie kama KANDAHAR au OLYMPUS HAS FALLEN, LONDON HAS FALLEN
Ni moto
Yeah sema Wana sema haija pokelewa vizuri sokoni.Nimeona mapato yake ni hatari tupu. 560mil usd
Tuna subiri part 2 ya dead reckoning, maana Gabriel hajafa.
[emoji117]Ethan kapata funguo, so ana elekea baharini
Equalizer 3 ni 🔥🔥🔥, nime tamani wange toa series yake.Mission ya hapo itakuwa hatari sana, Gabriel hakuamini alivyopoteza ufunguo kizembe, nataka nianze kutazama The equalizer
View attachment 2772680
Equalizer 3 ni [emoji91][emoji91][emoji91], nime tamani wange toa series yake.
[emoji117]Ongezea bullet train hapo
Kaka nime angalia mission Jana, leo nime malizana na equalizer.Bullet train nimeiona tayari...
Hapa na movie nyingi mno ngoja nimalizane na hii niendelee kupakua...
Ehhh ipoIna series yake hii