Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Hivi hii equaliser 3 ipo net naija? Maana nikesikia net naija nayo kama inashida vipi jamani ishakaa sawa? Nisije nikaishusha nikakutana na mapichapicha wakati mbs za kidebe zishaenda
 
Tuna subiri part 2 ya dead reckoning, maana Gabriel hajafa.
[emoji117]Ethan kapata funguo, so ana elekea baharini

Mission ya hapo itakuwa hatari sana, Gabriel hakuamini alivyopoteza ufunguo kizembe, nataka nianze kutazama The equalizer

IMG_0656.jpg
 
Back
Top Bottom