Kwahiyo Atcl ndowasio wababaishaji.....mara 100 fastjet kuliko Atcl, fastjet kuhama nchi ni disori kubwa katika utawala hu, tena hao Atcl ata wakibaki wenyewe biashara itawashida tu asbuhi tu.Kwa taarifa yako Fastjet walikuwa wababaishaji ila basi tu tulikuwa hatunajinsi ya kufanya kwa kuwa walikuwa hawana mshindani na nilishawaambie likija shirika la ndege jingine wajitayarishe kwa maumivu. Angalia Server zao ziko UK na hakuna admin TZ baada ya kuona sasa wanabanwa na sheria ya .co.tz wamekimbilia Msumbiji lakini wanajifanya wako TZ ofisi zao za TZ hazina maamuzi kabisa just operators.
Kwa wenye akili hili ni jambo la kusikitisha sana, ila kwa maccm yatasifia sanaHabari wadau!
Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.
Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
Hataki ushindani kwenye kila kituKwa hili napinga kwani biashara lazima iwe na upinzani.
Na akishindwa atawaita tena?Hataki ushindani kwenye kila kitu
Ukiwa mtu mzima utaelewa!Kwahiyo Atcl ndowasio wababaishaji.....mara 100 fastjet kuliko Atcl, fastjet kuhama nchi ni disori kubwa katika utawala hu, tena hao Atcl ata wakibaki wenyewe biashara itawashida tu asbuhi tu.
AtabebekaATCL itabebwa na kimataifa pia!
Unaonekana kichwani hamna kitu ndugu!!!It is not science rocket to know that 'CHARITY BEGINS AT HOME" JAPOKUWA UNATIMIZA WAJIBU WA CONTRACT YAKO, LAKINI KUNA KAZI NYINGI NI AIBU KUFANYA, HASA ZA KUWADI
Makofi kwa jiwe tafadhali...au leo viganja vinauma?Kama hii habari n kweli basi tunaenda siko... Dawa ya wewe kuwa tajiri s kumua tajiri
Naona mdudu wa ufipa bdo anaku nyembuanyembua!Kwani lile shirika la UFIPA AIRWAYS limesha funga virago au
Hii sasa eti ni akili !!!?. Mungu aisaidie nchi hii iko kwenye mikono ya watu wajuaji lakini wasioona mbali [emoji120][emoji87][emoji40]Kwani lile shirika la UFIPA AIRWAYS limesha funga virago au
Hapa tulipo siko, tushapotea, hata kama hiyo habari ikiwa sio kweli.Kama hii habari n kweli basi tunaenda siko... Dawa ya wewe kuwa tajiri s kumua tajiri
ATCL itabebwa na kimataifa pia!