Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

Kwa taarifa yako Fastjet walikuwa wababaishaji ila basi tu tulikuwa hatunajinsi ya kufanya kwa kuwa walikuwa hawana mshindani na nilishawaambie likija shirika la ndege jingine wajitayarishe kwa maumivu. Angalia Server zao ziko UK na hakuna admin TZ baada ya kuona sasa wanabanwa na sheria ya .co.tz wamekimbilia Msumbiji lakini wanajifanya wako TZ ofisi zao za TZ hazina maamuzi kabisa just operators.
Kwahiyo Atcl ndowasio wababaishaji.....mara 100 fastjet kuliko Atcl, fastjet kuhama nchi ni disori kubwa katika utawala hu, tena hao Atcl ata wakibaki wenyewe biashara itawashida tu asbuhi tu.
 
Habari wadau!

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
Kwa wenye akili hili ni jambo la kusikitisha sana, ila kwa maccm yatasifia sana
 
Kwahiyo Atcl ndowasio wababaishaji.....mara 100 fastjet kuliko Atcl, fastjet kuhama nchi ni disori kubwa katika utawala hu, tena hao Atcl ata wakibaki wenyewe biashara itawashida tu asbuhi tu.
Ukiwa mtu mzima utaelewa!
 
Nawapenda Fast jet nimepanda mala tano kutoka dar Johannesburg kwa garama ndogo sana 350,000 Tsh wakati SouthAfrican airline na mashirika mengine bei zao ziko juu sana Ethiopia pia bei zao sio mbaya sana tatizo awana ndege ya Dar Johannesburg mpaka uende Ethiopia ulale ADbaba kesho yake mchana upande ndege ya Dar, Baadae wakawanyima vibali vya kuingia South wakaomba Zimbabwe tukawa tunapanda Dar Zimbabwe ukishuka mabasi mpaka South hawa jamaa na wapenda sana wemetenganisha huduma za vyakula kwenye ndege na garama za usafiri ukiingia kwenye ndege umegonga ugali wako na dondo unachapa usingizi masaa manne uko dar habari za vyakula saa ngapi kawa rahagani nawapenda sana FAST JET wakionda utarudi kwenye mabasi
 
Kama Fastjet wameshindwa kuchuma toka walipoingia nchini mwaka 2012, hawatokaa tena wapate nafasi ya kuchuma from now onwards, so ni vyema wakaja kivingine. Sio lazima wafanye biashara ya ndege iwapo mazingira sio rafiki. Wanaweza hata kufanya biashara ya merchant ships...
 
Nan kasema wanafungasha? Waliojitoa ni fastjet PLC wameshachukua embrer zao na moja iko
Mbion kuondoka lakin fastjet chin ya Masha watatumia ndege za kukodi na shirika litaendelea kuwepo. Kwa sasa fastjet wana hiyo moja inayopiga route za mbeya mwanza na Kia.
Masha alikua south kusain mkataba na SA watapewa ndege na ila ya zaman iliokua inatumiwa na fastjet ya kukodi itarejea
fastjet wamenyimwa route za Mtwara Bukoba Tabora na Kigoma na walishajiandaa na ndege ndogo
Tatizo la Tanzania wahusika hawajui biashara ya anga ina hitaji competition ili kusiwe na monopoly naona Wamewanyima kibali wakidhan Atc ingepata hasira.
Hizo ni news za chini ya carpet.
Biashara bila ushindani ni makosa kisheria
 
Back
Top Bottom