mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Kwahiyo Atcl ndowasio wababaishaji.....mara 100 fastjet kuliko Atcl, fastjet kuhama nchi ni disori kubwa katika utawala hu, tena hao Atcl ata wakibaki wenyewe biashara itawashida tu asbuhi tu.Kwa taarifa yako Fastjet walikuwa wababaishaji ila basi tu tulikuwa hatunajinsi ya kufanya kwa kuwa walikuwa hawana mshindani na nilishawaambie likija shirika la ndege jingine wajitayarishe kwa maumivu. Angalia Server zao ziko UK na hakuna admin TZ baada ya kuona sasa wanabanwa na sheria ya .co.tz wamekimbilia Msumbiji lakini wanajifanya wako TZ ofisi zao za TZ hazina maamuzi kabisa just operators.