Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) kuanzia leo Julai 05, 2021

Awali, Fatma alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMS), Dar

Ila hilo jina Mwinyi mvua bana. Ndo maana napenda majina ya kigalatia yanatamkika vema kinywani mfano Anastasia Shmidt, Maureen littlefoot, Agnes Wolfgang, AnaJohn Maguire, Patricia Cook
 
Fedha haramu zikoje wataalamu mtuambie!
Hivi wakati wa ziara za Hayati JPM zile maburungutu ya fedha zilizokuwa zinatolewa hadharani zilikuwa halali au Haramu?!

Mbona siku hizi hatuzioni zikitolewa?
Je yule aliyekuwa anabeba mkoba ule alilipwq ngapi na yuko wapi? Mwenye fununu atujuze. Kazi yaendelea!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Yule bwana mbeba mikoba aka modern yuda Iskariote kwa sasa anamiliki mabenz
 
Ila hilo jina Mwinyi mvua bana. Ndo maana napenda majina ya kigalatia yanatamkika vema kinywani mfano Anastasia Shmidt, Maureen littlefoot, Agnes Wolfgang, AnaJohn Maguire, Patricia Cook
Wakolintho,Wagalatia,Wathesalonike πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
Kitengo cha kudhibiti kununua wapinzani sio muhimu?
 
Hawana uwezo wa kudhibiti fedha haramu,wao wanakimbilia kufunga acc za kina Mbowe kwa kivuli cha kupambana na pesa haramu
Sheria haiko realistic yaani nadhani kama unafanya transaction ya zaidi ya milioni unatakiwa uripoti FIU, na usiporipoti ni makosa Sasa kwa staili hiyo si watafunga watu wengi sana.
 
Sheria haiko realistic yaani nadhani kama unafanya transaction ya zaidi ya milioni unatakiwa uripoti FIU, na usiporipoti ni makosa Sasa kwa staili hiyo si watafunga watu wengi sana.
Kiufupi sheria imekaa kama mtego wa panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…