Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

tunacho taka ni udhibiti wa fedha chafu zisipitie ktk miamala ya Mobile money.
kuna wakala wanafanya miamala ya kimataifa zaidi ya mamilioni, kuna mitandao inafanya miamala ya kutuma fedha kimataifa. ni jambo jema kwa upande mmoja lkn mamlaka zisipo tupia jicho la kiudhibiti na uchunguzi wahalifu watatumia mwanya huo kupitishia fedha chafu/haramu.
fedha zitokanazo na biashara za madawa ya kulevya, rushwa, ufisadi, ugaidi n.k n.k.
FIU lazima ijiongeze sana kuchunguza huduma za kifedha zinazo tolewa na makampuni mbalimbali.
kuna baadhi ya vyama vilikuwa vikipokea fedha chafu kwa njia za siri, kuna makampuni, kuna baadhi ya mabenki yamekuwa yakitumika au kutumiwa kuhifadhi fedha chafu lazima yafuatiliwe kwa karibu na weledi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu wanagaiana vyeo tu 😉😉😉
Na Mwendawazimu alikua hivi hivi ,aligawa sana vyeo kwa Warundi waliojificha kwenye Usukuma. Watu walikua na majina ya ajabu ya kihutu na kitusi.
Nchi ngumu sana hii.☹️🙁
 
Waislamu wanagaiana vyeo tu [emoji6][emoji6][emoji6]

Mkuu ni kweli una haki ya kuonyesha hisia zako lkn naona kama umekuwa ‘low’ kwa hili na hisia zimetangulia bila kuangalia historia kama Taifa

Utofauti wa Elimu kati wa Waislam na Wakristu ni suala la historia toka enzi za mkoloni

Na sehemu kubwa ya nchi baada ya uhuru mpaka leo imekuwa ipo chini ya watendaji wengi wa dini ya Kikristu ( Hii siyo sifa kama unalitakia mema Taifa ambalo ktk hizi dini hakuna minority)

Unaweza kuona mama kama anateua Waislam wengi ( na labda ni kweli) lakini kwa ujumla wake bado Wakristu ni wengi ktk idara karibu zote za serikali

Sasa mazoea yasionekane kama ni haki pia kumbuka kwa miaka hiyo Waislam nao wamejiendeleza ki elimu baadhi yao

Pia mfano baraza la mawaziri la pili kipindi cha Mh Magufuli kulikuwa na Waislam mawaziri kamili na manaibu hawazidi watano kati ya arubaini na zaidi kwa ujumla wao (hapa sijui utasema ni udini au ni uwezo wa watu au ni haki ya watu fulani)

Naona tukianza kutendeana kwa haki ndo msingi wa Taifa na kutunza amani yetu kwa ujumla wetu kwa wanao amini kwenye hizi dini za kuja au hata za asili
 
Fedha haramu zikoje wataalamu mtuambie!
Hivi wakati wa ziara za Hayati JPM zile maburungutu ya fedha zilizokuwa zinatolewa hadharani zilikuwa halali au Haramu?!

Mbona siku hizi hatuzioni zikitolewa?
Je yule aliyekuwa anabeba mkoba ule alilipwq ngapi na yuko wapi? Mwenye fununu atujuze. Kazi yaendelea!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Fedha kama KUHONGWA
ZA michepuko
Za Uajambazi
Za kuuza nyapu, au 0655
Za kuuza ombe au banghi
Za Ku Bet
 
Tulia tuulia wewe! Hukuwhi mkosoa Dikteta Magufuli alivyo kuwa anateua wahutu wenzake serikalini. Kuwa mpole.

Wote Ni watanzania. Ndo la msingi. Hivi mkuu kutoka Rais wa JMT, cheo kinachofuatia Ni? Na kinachofuatia? Wakati wa huyo JPM walikuwa dini gani. Sorry na Judge Mkuu. Napita tu. La msingi wote Ni watanzania.
 
Tuwe na subira kwenye teuzi...mpeni muda mama ajenge uchumi
 
Back
Top Bottom