Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Rais ameanza taratibu tena kwa mbali sana wenye uoni angavu tunaona hii yote ni ROPO ROPO YA AKINA MDUDE MBOVU.
 
Mama lazima awakumbuke kina Thabit, Abdallah, Ame, Makame.

JPM alikuja na kina Mabula, Mashimba, Mabina, Mashiku. Mwingine akiingia atawabeba jamaa zake ndio aina ya uongozi tangu enzi za mwasisi.
Acheni haya maneno. Nachukia sana watu wenye chembe za udini. SISI NI TAIFA.
 
Tuache visa vya dini. Waislamu nao ni watanzania wanastahili vyeo na nafasi serekalini. Kitu cha msingi ni uwezo, kama upo, kila la kheri mteuliwa.
 
Hivi vyeo siku hizi vimeongezeka hatari. Mpaka vya kudhibiti fedha haramu. Au kila zama na wakati wake?
Sema unalotaka kusema kwa maneno machache,kwa taarifa yako huku JF soote tuna akili.
 
Tuache visa vya dini. Waislamu nao ni watanzania wanastahili vyeo na nafasi serekalini. Kitu cha msingi ni uwezo, kama upo, kila la kheri mteuliwa.
Hakuna wenye uwezo..tarajia nchii hii kukubwa na ufisadi ulio kithiiri...nadhani unakumbuka awamu ya 4..madawa ya kulevya..wizi wa mchana kweupe..ajali kila kona ya nchi...hayo ni kwauchache.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitengo kwa muda mrefu kipo kama hakipo, sasa ni muda muafaka kwa kamishna mpya kubaini na kudhibiti fedha haramu.
1. Fedha zitokanazo na biashara ya madawa ya kulevya.

2. Fedha zitokanazo na Ufisadi na rushwa.

pia huduma za mobile money zithibitiwe/kuwe na uchunguzi/uangalizi wa karibu sana kwani kuna uwezekano mkubwa kutumiwa na wahalifu wa aina mbalimbali kupitishia fedha chafu.
tunategemea kamishna Fatuma atadhibiti myanya yote ya fedha chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka hayo makampuni yakimbie Tz maana unataka yabana
 
Hakuna wenye uwezo..tarajia nchii hii kukubwa na ufisadi ulio kithiiri...nadhani unakumbuka awamu ya 4..madawa ya kulevya..wizi wa mchana kweupe..ajali kila kona ya nchi...hayo ni kwauchache.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabadiliko ya katiba ya fanywe ili fursa ziwe 50/50 waislamu wanaonewa na wamenyimwa fursa muda mrefu, msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Mabadiliko ya katiba ya fanywe ili fursa ziwe 50/50 waislamu wanaonewa na wamenyimwa fursa muda mrefu, msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Hahaaaa..hakuna aliywanyima fursa..sasa watapataje fursa kama hawapereki watoto shule..wamekalia kuoana tu na kuzaana kama panya..yet hawajari elimu wanajari tende kutoka uarabuni.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom