Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Nyani Ngabu ana chuki kubwa na Waislam,Kwan Waislam hawatakiwi kupewa vyeo?Hii nchi ni yetu sote.
 
Hahaaaa..hakuna aliywanyima fursa..sasa watapataje fursa kama hawapereki watoto shule..wamekalia kuoana tu na kuzaana kama panya..yet hawajari elimu wanajari tende kutoka uarabuni.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaandika yasiyofaa kuonyesha ulivyofikirishwa na kuaminishwa yasuyi ya ukweli.Hakuna dini inayoamrisha kusoma kama Uislam.
Hawa ndugu zetu Wakristu waliusoma Uislam wakaufanyia kazi wakafaulu.
Aya ya jwanza kabisa kushuka ni neno "SOMA"
Na kusoma ni wajibu(ni amri) kama ilivyo kusali na kufunga.
Eti wanapenda kuoa na kuzaana,ww unataka tusioe wala tusizaane sisi sio tasa au wagumba.Ongea ukweli utapendwa na kuheshimiwa.ACHA UONGO.
 
Congratulations! Fatma. Kazi hii ni ngumu sana. Hutapata support na infrastructure plus TZ system ni mbaya na haziko integrated. Ni bora wangekuacha ulipokuwa
Ana vyombo vya kumsaidia kufanya kazi, ikiwemo TAKUKURU
 
Anza kumfundisha nidhamu mgalatia mwenzako.
Ndiyo tatizo la Wakristu wa Jamii Forums.Hawaujui Uislam kazi yao kumsikiliza Padri au Mchungaji wao kila wanawaambia.
"Waislam wana mapepoooi" wanaitikia "Ameeeen"
"Mtume wao alifukuliwa na nguruwe ndiyo maana hawali nguruwe" wanaitikia" wanaitikia "haleluuuuyaa"Fire fire fire moto moto moto nabwai wanaitikia tuuu jamani!!!
Hata Biblia Takatifu inaonya
"MJINGA HUAMINI KILA KITU BALI MWENYE BUSARA HUENDA KWA KUFIKIRI.
Kuweni wenye busara muende kwa kufikiri
 
Unataka hayo makampuni yakimbie Tz maana unataka yabana
tunacho taka ni udhibiti wa fedha chafu zisipitie ktk miamala ya Mobile money.
kuna wakala wanafanya miamala ya kimataifa zaidi ya mamilioni, kuna mitandao inafanya miamala ya kutuma fedha kimataifa. ni jambo jema kwa upande mmoja lkn mamlaka zisipo tupia jicho la kiudhibiti na uchunguzi wahalifu watatumia mwanya huo kupitishia fedha chafu/haramu.
fedha zitokanazo na biashara za madawa ya kulevya, rushwa, ufisadi, ugaidi n.k n.k.
FIU lazima ijiongeze sana kuchunguza huduma za kifedha zinazo tolewa na makampuni mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunampongeza sana mteuliwa na tunamtakia heri kwenye utendaji wake wa kazi.
Kabla yake, nani alikuwa anakalia nafasi? Na amestaafu au nafasi ilikuwa wazi baada ya aliekuwepo kustaafu/kupangiwa majukumu mengine japo barua haijasema.
 
tunacho taka ni udhibiti wa fedha chafu zisipitie ktk miamala ya Mobile money.
kuna wakala wanafanya miamala ya kimataifa zaidi ya mamilioni, kuna mitandao inafanya miamala ya kutuma fedha kimataifa. ni jambo jema kwa upande mmoja lkn mamlaka zisipo tupia jicho la kiudhibiti na uchunguzi wahalifu watatumia mwanya huo kupitishia fedha chafu/haramu.
fedha zitokanazo na biashara za madawa ya kulevya, rushwa, ufisadi, ugaidi n.k n.k.
FIU lazima ijiongeze sana kuchunguza huduma za kifedha zinazo tolewa na makampuni mbalimbali.
kuna baadhi ya vyama vilikuwa vikipokea fedha chafu kwa njia za siri, kuna makampuni, kuna baadhi ya mabenki yamekuwa yakitumika au kutumiwa kuhifadhi fedha chafu lazima yafuatiliwe kwa karibu na weledi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu wana roho mbaya sana
Usitake tufukue makaburi.Labda ww unawazungumzia wale wanaojiita dola la kiislam,wala mashetani wauaji na wafuasi wa Lusifa answar suna short kanzu ndevu beberu ambao kila asie wafuata ni kafiri na anastahili kuuwawa.
Kama unawazungumzia hawa kua wana roho mbaya ahlan wa sahlan(sawa kabisa)
Lkn usi generalise.
 
Back
Top Bottom