Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Fatma Ayoub Mwinyimvua ateuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu

Fedha haramu zikoje wataalamu mtuambie!
Hivi wakati wa ziara za Hayati JPM zile maburungutu ya fedha zilizokuwa zinatolewq hadharani zilikuwa halali au Haramu?!
Mbona siku hizi hatuzioni zikitolewa?
Je yule aliyekuwa anabeba mkoba ule alilipwq ngapi na yuko wapi? Mwenye fununu atujuze. Kazi yaendelea!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Sasahivi zinapigwa kimya kimya
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) kuanzia leo Julai 05, 2021

Awali, Fatma alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMS), Dar

View attachment 1842402
Teuzi nyingi Sasa hivi unakuta wateuliwa wengi wanasali siku moja
 
Ni mtoto wa Ayoub Simba aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga kupindi kile cha awamu ya Nyerere na hatimae Mwinyi au ni majina tu?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) kuanzia leo Julai 05, 2021

Awali, Fatma alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMS), Dar

View attachment 1842402
Hizi vitu gani huyu mama anatuletea? Hiyo zeal yake kuweka wanawake ataondoa ile hali ya kimapambano dhidi ya ufisadi.
 
Hiki kitengo kwa muda mrefu kipo kama hakipo, sasa ni muda muafaka kwa kamishna mpya kubaini na kudhibiti fedha haramu.
1. Fedha zitokanazo na biashara ya madawa ya kulevya.

2. Fedha zitokanazo na Ufisadi na rushwa.

pia huduma za mobile money zithibitiwe/kuwe na uchunguzi/uangalizi wa karibu sana kwani kuna uwezekano mkubwa kutumiwa na wahalifu wa aina mbalimbali kupitishia fedha chafu.
tunategemea kamishna Fatuma atadhibiti myanya yote ya fedha chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu, FIU ipo tangu kati ya mwaka 2007 na 2008. Kilianzishwa pamoja na Sheria ya TAKUKURU ! Awali kabisa kiliongozwa na mzee Kessy. Ni kitengo muhimu mno. Nakuombea kheri Mkuu mpya ili uitumikie vema dhamana uliyopewa na Rais.
 
Ni Kitengo muhimu kwa kweli lakini Mwendazake alikitumia vibaya pamoja na TAKUKURU. Alilenga kudhibiti wakosoaji wa utawala wake tu. Maana hata ile NGO ya Legal & Human Rights Centre ilifugiwa Akaunti
 
Fedha haramu zikoje wataalamu mtuambie!
Hivi wakati wa ziara za Hayati JPM zile maburungutu ya fedha zilizokuwa zinatolewq hadharani zilikuwa halali au Haramu?!
Mbona siku hizi hatuzioni zikitolewa?
Je yule aliyekuwa anabeba mkoba ule alilipwq ngapi na yuko wapi? Mwenye fununu atujuze. Kazi yaendelea!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Mama yeye anatunza waimba taarabu.
 
Back
Top Bottom