Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
IMG_20220605_183235.jpg

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
 
View attachment 2251475

Acha watukanane tu! Wanagombania asali na juice za Ikulu!! Hahahahah...
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
Hatuna shida na misimamo ya watu,lakini tutapinga unafiki.

Huyu shqngazi anaposema Samia ni mama shupavu kwamba ameichukua nchi iliyoharibiwa na Maghu,sasa tujiulize wakati Maghu anaharibu nchi,Samia alikuwa wapi?

Kama Ccm ya Samia imekuwa shetsni na imeharibu uchumi wa nchi hii,haiwezekani,alipoingia Mzenj tu,tayari ccm imekuwa maraika! kama shqngazi amebadili mtazamo kwa vile aliyepo Ikulu ni mzenj, tunaweza tukaelewa, kwamba hapa Kuna asari ya kulamba, lakini asitake kutuaminisha kwamba Kuna tofauti ya Samia na "presidency" uraisi wa nchi hii kama taasisi

Jinsi alivyomtwanga Ndugsi, jinsi alivyotengrneza kesi ya ugaidi ya Mbowe, Samia ni Hana tofauti na Maghu, wote ni wezi tu,
 
Katika vyama VYOTE kuna kundi hufuata viongozi bila kuhoji, nafikiri hii iko zaidi kwa chama tawala. Kwa nini hili jina liwe mahususi kwa CDM tu??
Nadhani inatokana na tabia ya "kufuata" viongozi bila kuhoji!

Kama vile nyumbu !
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
Walimfuga na kumlea wenyewe. Sasa amekosa chakula na kuwarudia wafugaji.
 
MATAGA ni jina watu walilojiita wenyewe, Ngogwe ilitokana na Zitto kutumia ramani ya uzalishaji ngogwe kutaka kuipasiha ACT. Nyumbu limetokana na nini?
Eti wanasema neno NYUMBU linatokana na aina ya wanachama wa CHADEMA akili zao kama hao wanyama, wanaswagwa tu na Mbowe anavyotaka. Wanadai jina hili lilianzia pale Mbowe alipowapa wanachama wake kazi ya kumsafisha Edward Ngoyai kuwa siyo fisadi; yaani kukana maneno yao ya awali kuwa ni fisadi ili awe mgombea safi wa CHADEMA 2015. Hivyo neno Nyumbu limekuwa jina la wafuasi wa chama hicho; yaani wana very low reasoning capacity. Mfano eti mwenyekiti wa BAVICHA Pambalu kwa zile harakati zake uchwara; yaani harakati za pimbi.
 
Back
Top Bottom