Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Katika vyama VYOTE kuna kundi hufuata viongozi bila kuhoji, nafikiri hii iko zaidi kwa chama tawala. Kwa nini hili jina liwe mahususi kwa CDM tu??
Ni utani tu kama Utopolo na Makolo Kwenye mpira! Jina linastawi bila sababu ukiwa na bahati litaisha lenyewe!

Jina la YEBO YEBO Yanga liliisha lenyewe!
 
Eti wanasema neno NYUMBU linatokana na aina ya wanachama wa CHADEMA akili zao kama hao wanyama, wanaswagwa tu na Mbowe anavyotaka. Wanadai jina hili lilianzia pale Mbowe alipowapa wanachama wake kazi ya kumsafisha Edward Ngoyai kuwa siyo fisadi; yaani kukana maneno yao ya awali kuwa ni fisadi ili awe mgombea safi wa CHADEMA 2015. Hivyo neno Nyumbu limekuwa jina la wafuasi wa chama hicho; yaani wana very low reasoning capacity. Mfano eti mwenyekiti wa BAVICHA Pambalu kwa zile harakati zake uchwara; yaani harakati za pimbi.
Umenena kweli tupu Mkuu!
 
Chadema tusiogope kuambiwa ukweli nasi tusisite kupiga spana kwa kweli Shangazi ni mtu muhimu na ni akili kubwa tukae chini tuuajenge.
Ipo vilevile akili kubwa lakini ya kipumbavu. Unadhani walio Mirembe wote wana akili ndogo?
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
Sitaki kuamini kama Fatuma Karume ni mdini, mbaguzi na Msenzi kiasi hiki.
“MATAGA”walijiita wenyewe MaCCM utawala wa Magufuli.
(Make Tanzania Great Again)
Ngogwe ni Zitto ndio alitumia ramani ya kilimo cha Ngogwe na kufananinisha na ACT.
NYUMBU unaitoa wapi . Nyumbu ni Babako na Babu yako Abeid na Amani Karume.
Kinuka shombo la samaki, umesahau hata kuosha upo tu unapuyanga na CHADEMA.
 
Mbona Lowassa alipokelewa tena na akasifiwa na Magufuli aliporejea CCM baada ya kutakanwa sana kwenye kampeni?

Mbona Membe, Sumaye na Nyalandu wamerejea tena na wakashangiliwa sana baada ya kunangwa muda mrefu na wanachama hao hao??

Kwa nini hawa hawajaitwa Nyumbu?
Eti wanasema neno NYUMBU linatokana na aina ya wanachama wa CHADEMA akili zao kama hao wanyama, wanaswagwa tu na Mbowe anavyotaka. Wanadai jina hili lilianzia pale Mbowe alipowapa wanachama wake kazi ya kumsafisha Edward Ngoyai kuwa siyo fisadi; yaani kukana maneno yao ya awali kuwa ni fisadi ili awe mgombea safi wa CHADEMA 2015. Hivyo neno Nyumbu limekuwa jina la wafuasi wa chama hicho; yaani wana very low reasoning capacity. Mfano eti mwenyekiti wa BAVICHA Pambalu kwa zile harakati zake uchwara; yaani harakati za pimbi.
 
Huyo Fatma mwenyewe ukienda tofauti na anachoamini huko twitter anakupiga spana mazima. Demokrasia ni mdomoni tu lakini kiuhalisia binadamu hatupendi wenzetu wakienda tofauti na tunavyoamini. Yeye na Maria usiombe kutofautiana nao fikra, wanakulima block...fikra tu wala sio kumtukana...
 
ndio maana watu kama PUTIN wanaamua kutawala tu na wengine muendelee na kazi nyingine..

Watanzania siasa zimewahi kabla ya muda wake, tunahitaji Rais atakayepiga marufuku siasa na watu waende wafanye kazi...kila mtu sasa amekuwa mwanasiasa matokeo yake kila kukicha ni makelele tu na mabishano..
 
Rais ni matokeo ya siasa, serikali yoyote ni matokeo ya siasa, utawala wowote ni siasa sasa sijui wewe unaongelea siasa ipi ipigwe marufuku!
ndio maana watu kama PUTIN wanaamua kutawala tu na wengine muendelee na kazi nyingine..

Watanzania siasa zimewahi kabla ya muda wake, tunahitaji Rais atakayepiga marufuku siasa na watu waende wafanye kazi...kila mtu sasa amekuwa mwanasiasa matokeo yake kila kukicha ni makelele tu na mabishano..
 
Spana ni demokrasia, block ya twitter ni demokrasia pia. Demokrasia ni pamoja na mtu binafsi kuwa na uwezo wa kukataa kusikiliza au kuona kile ambacho hakitaki.
Huyo Fatma mwenyewe ukienda tofauti na anachoamini huko twitter anakupiga spana mazima. Demokrasia ni mdomoni tu lakini kiuhalisia binadamu hatupendi wenzetu wakienda tofauti na tunavyoamini. Yeye na Maria usiombe kutofautiana nao fikra, wanakulima block...fikra tu wala sio kumtukana...
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
Uzuri hakuna kiongozi wa Chadema anayehangaika naye
Yeye mambo ya mitandaoni ndiyo anahangaika nayo yaani anagombana na asiyejulikana.
 
Spana ni demokrasia, block ya twitter ni demokrasia pia. Demokrasia ni pamoja na mtu binafsi kuwa na uwezo wa kukataa kusikiliza au kuona kile ambacho hakitaki.
Saaa mkuu, kumbe demokrasia ina mapana na marefu yake!
 
MATAGA ni jina watu walilojiita wenyewe, Ngogwe ilitokana na Zitto kutumia ramani ya uzalishaji ngogwe kutaka kuipasiha ACT. Nyumbu limetokana na nini?
Nyumbu limetokana na wafuasi wa chadema kuwa na akili kma za watu hao
 
Lazima tumsapoti mzanziberi mwenzetu.
 
Fatma ni akili kubwa ila huwa na logic za hovyo hapa na pale zisizo na mashiko. Pia hana ngozi ngumu ya kuvumilia criticism hasa nje ya CCM.
Linapokuja swala la udini na ukanda, Fatma na Zitto hawana tofauti yeyote ile. Fatma huwa anaona yupo sahihi sana kukosoa wengine, ila yeye hataki wengine wawe na haki ya kumkosoa- ni stupidity ya hali ya juu. Mwisho ana akili za kitoto sana, Kwa mfano- CCM inaweza ku-control opinion ya kila mfuasi wake? jibu ni hapana, sasa anahusianisha vp mawazo ya mfuasi mmoja mmoja wa chama cha siasa ambao pengine hawatambuliki na chama chenyewe cha siasa 🤣 🤣 🤣 Stupid as stupid does.
 
Back
Top Bottom