Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Menopause inampa msongo wa mawazo viongozi wa Chadema wameamua kumpuuza maana ukibishana na chizi watu watashindwa kuona tofauti kati yenu
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
Acha upotoshaji.Au haujui kusoma,kuchukua maudhui na kuyatafsiri?
 
Eti wanasema neno NYUMBU linatokana na aina ya wanachama wa CHADEMA akili zao kama hao wanyama, wanaswagwa tu na Mbowe anavyotaka. Wanadai jina hili lilianzia pale Mbowe alipowapa wanachama wake kazi ya kumsafisha Edward Ngoyai kuwa siyo fisadi; yaani kukana maneno yao ya awali kuwa ni fisadi ili awe mgombea safi wa CHADEMA 2015. Hivyo neno Nyumbu limekuwa jina la wafuasi wa chama hicho; yaani wana very low reasoning capacity. Mfano eti mwenyekiti wa BAVICHA Pambalu kwa zile harakati zake uchwara; yaani harakati za pimbi.
Kwani CHADEMA ikichanwa kuna shida gani ?

Wakikosea wasiambiwe ? Wao ni kina nani ? Tena hapa kwa Lowassa ndio walionekana nyumbu kabisa. Siku hizi wapo tu hawana hata agenda, CC ya CHADEMA ilistahili kuvunjwa kwa mistake hii waliyoifanya ya kumpokea Lowassa
 
Back
Top Bottom