People have logic - Fatma alikuwa ana lecture watu kuwaambia kikosi kazi ni batili na hakipo kisheria, walipomuuliza sasa kwann sasa amekubali kwenda kutoa maoni kwenye kikosi kazi ambacho ni batili na hakiamini- hapa ndipo tatizo lilipoanza. Badala ya kuja na counterargument kama msoni, kaamua kuja na porojo
Stuxnet nakubaliana na wewe, lakini kuwekuwa na katrend ambacho kalianza wakati wa magufuli na kanaendelezwa sana wakati huu ambacho siyo sawa na kitaharibu kustakabali wa taifa huko mbeleni- Mambo ya UDINI na UKANDA. Kumsifia tu magufuli au samia kwa sababu za ukanda au udini haikuwa sawa na siyo sawa leo. Nilishaandika huko nyuma kuhusu Fatma na Zitto, hawa watu hawana credibility yeyote kwenye hii nchi zaid ya kuendeleza ukanda na udini, na maslahi binafsi-na wala sitashangaa kama wameahidiwa vyeo na wakapewa because they are too opportunist.
Tatizo liko kwa Wana CDM, hawapendi mawazo mbadala. Kwa mfano mimi posts zangu zote za 2015-21 zilikuwa za kushambulia utawala wa Magufuli kwa vile ulikuwa unakandamiza demokrasia, unanyima uhuru wa maoni, unateka, kuua na kutesa.
Sasa alipokuja Samia na kubadili mambo yote kwa 360°, sikuona haja ya kumpinga na nikaanza kumsifia. Na nikawa nawakosoa akina Mbowe na Lissu namna wanavyoendesha siasa zao kwa mtindo uleule dhidi ya Samia. Ushauri wangu mmoja ni huu hapa;
Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
www.jamiiforums.com
Wakaniona mimi ni CCM
Ifike mahali tutambue kama chama cha upinzani watambue wanataka nini na siyo siasa za mihemuko ambapo wanapinga chochote cha Serikali
Hawajaitwa nyumbu kwa sababu, wafuasi wa chadema huwa ufuata kila kauli ya Mbowe bila kujali jana alisema je na leo amesema je, mfano Mbowe akusema leo kaskazini itaitwa kusini wao wanarukia hivyo bila ku reasoning na kuanza kusupport , kesho Mbowe akisema tuiname miguu juu wao wanafanya hivyo hivyo bila hata kuuliza sababu za kuinama na kuweka miguu juu nini. Ndivyo na nyumbu walivyo, mmoja akirukia korongoni bila hata km kuna mamba, woote wanafuata nyuma bila kuangalia hatari iliyopo alimradi mmoja amejirusha
Tatizo liko kwa Wana CDM, hawapendi mawazo mbadala. Kwa mfano mimi posts zangu zote za 2015-21 zilikuwa za kushambulia utawala wa Magufuli kwa vile ulikuwa unakandamiza demokrasia, unanyima uhuru wa maoni, unateka, kuua na kutesa.
Sasa alipokuja Samia na kubadili mambo yote kwa 360°, sikuona haja ya kumpinga na nikaanza kumsifia. Na nikawa nawakosoa akina Mbowe na Lissu namna wanavyoendesha siasa zao kwa mtindo uleule dhidi ya Samia. Ushauri wangu mmoja ni huu hapa;
Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
www.jamiiforums.com
Wakaniona mimi ni CCM
Ifike mahali tutambue kama chama cha upinzani watambue wanataka nini na siyo siasa za mihemuko ambapo wanapinga chochote cha Serikali
..kwanini unaamini wanaokupinga ukimsifia Ssh ni wana Cdm, na sio Ccm, Act, au chama kingine?
..pia hudhani kwamba wanaokupinga unapomsifia Ssh wanafanya hivyo kwasababu wanaamini hajafanya mabadiliko ya kutosha ya kimsingi kustahili kusifiwa au kupongezwa?
..au unaamini wanaokupinga unapomsifia Ssh wanafanya hivyo kwasababu wanaona hana tofauti zozote zile na Jpm?
..Ssh bado anatekeleza zuio la mikutano ya hadhara na maandamano lililotolewa kinyume na katiba wakati wa awamu ya 5. Katika mazingira hayo sio ajabu wakawepo watu wasioridhishwa naye, au wanaoona anaendeleza ukiukaji wa katiba wa Jpm.
..Ssh pia hajachukua hatua zozote kwa waliohusika ktk dhuluma, hujuma, na ukatili dhidi ya viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani. Kwa mfano, msajili wa vyama vya siasa hajabadilishwa. Katibu Mkuu wa tume ya uchaguzi ni yuleyule aliyesimamia madudu ya 2020. Hakuna mabadiliko ktk jeshi la polisi. Ndio maana wako wanaomtilia shaka wanaouliza kama Ssh ana nia ya dhati ya kustawisha demokrasia hapa nchini.
Nadhani hiyo hali ya kutoshirikishwa inaendelea hadi sasa akiwa rais na ndio maana sasa hivi kosa lolote la uongozi lawama haziendi kwa Samia moja kwa moja kama ilivyokuwa kwa Magufulu, awamu hii chochote kibaya utasikia wanamuharibia Samia kwamba yeye hahusiki.
Strategy ya CCM huwa ni kupandikiza mbegu za migogoro kwa ufundi mkubwa na kuzimwagilia maji kwa ustadi. Sasa hivi zipo dalili kwamba CCM imeshafanikiwa kuiingiza CDM ya Ayatollah Mbowe kwenye mtego uleule uliovivuruga vyama vikuu vya upinzani vilivyotangulia. Subiri; utaona kama kuna chenye maslahi ya taifa kitapatikana. Of course, kibinafsi, Ayatollah Mbowe na baadhi ya washirika wake wa karibu watanufaika. Wenzangu mimi itabidi waandike maumivu tu!
Huyu naye Hana lolote, ajue bila kubebwa na history ya familia yake Hana lolote ,kwani wako wanawake wangapi tz ambao kiuwezo wa fikra wamemuacha mbali Sana
Tatizo lake penda jiona anajua Sana, na KILA anachofanya yuko sawa , na KWa kujulikana kwake Basi KILA mtu atasikiliza au fuata rubish yoyote atafanya,
Sasa yeye Kama hatishiki na Chadema so anafikili Chadema inatishika na yeye, yeye nani,
Haende zake huko atutolele kelele za ujua , ila ni vyema akaelewa kukaa na watu vizuri maana sponsor hufa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.