Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

Nyumbu limetokana na nini?
3035694_images.jpg
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
This is ridiculous. Ukishambuliwa kwa maneno/hoja nawe jibu kwa maneno/hoja tofauti ionekane. Labda tuambiwe umetishiwa kudhuriwa kimwili (kujeruhiwa/kuuawa/kubakwa). Haiwezekani utishwe kwa maneno tu liwe suala la kulalamika.
 
Kama watu wanamponda basi kuna mahali kateleza .

Ameleta unafiki somewhere.

Sijawahi muamini sana huyo dada sijawahi kabisa

Nilikuwa na mashaka nae since nilipowahi ona kavaa nguo ya ccm na kitambulisho shingoni cha ukada na kashika mic anaongea sijui kwenye mkutano

Hata zile harakati ni kwasababu tu maslahi yake na ya mzee wake yaliguswa.

Tuwe makini na hawa wanaharakati uchwara msiwape sana umaarufu.
 
Kakumbuka babu yake soon atarudi CCM kulamba uteuzi amuache Maria na frustration
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.

CCM haijawahi kushindwa kubomoa chama chochote cha upinzani. Heydays za CDM kwenye opposition politics sasa zinahesabika![emoji28]
 
MATAGA ni jina watu walilojiita wenyewe, Ngogwe ilitokana na Zitto kutumia ramani ya uzalishaji ngogwe kutaka kuipasiha ACT. Nyumbu limetokana na nini?
Nyumbu limetoka na wale wanyama wanaofuata mkumbo bila kufikiria, wanatumbukizwa mtoni na kiongozi wao hata kama Kuna mamba na wanaliwa
Hao ndo nyumbu .
 
Katika vyama VYOTE kuna kundi hufuata viongozi bila kuhoji, nafikiri hii iko zaidi kwa chama tawala. Kwa nini hili jina liwe mahususi kwa CDM tu??
Chama chetu cha sisiemu ndo chama cha ma-nyumbu Og..
Ni mwendu wa kusifu na kuabudu na kuunga mkono kila hoja toka juu
 
View attachment 2251475

Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa.

Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet.

Wakati unaendelea kutupatia ukweli.

Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
Huyu naye Hana lolote, ajue bila kubebwa na history ya familia yake Hana lolote ,kwani wako wanawake wangapi tz ambao kiuwezo wa fikra wamemuacha mbali Sana
Tatizo lake penda jiona anajua Sana, na KILA anachofanya yuko sawa , na KWa kujulikana kwake Basi KILA mtu atasikiliza au fuata rubish yoyote atafanya,
Sasa yeye Kama hatishiki na Chadema so anafikili Chadema inatishika na yeye, yeye nani,
Haende zake huko atutolele kelele za ujua , ila ni vyema akaelewa kukaa na watu vizuri maana sponsor hufa
 
Fatma ni akili kubwa ila huwa na logic za hovyo hapa na pale zisizo na mashiko. Pia hana ngozi ngumu ya kuvumilia criticism hasa nje ya CCM.
Wewe umeongea nini hapa; yaani uwe na akili kubwa alafu logic zako ziwe mbovu
 
magufuli alikuwa anawaweka chadema JUU.
NI Kama kisa Cha ngedere na mkulima wa mahindi
 
NYUMBU maana yake anapoelekea mwenyekiti na nyie mnaelekea huko huko.hamuwezi KUHOJI.
mbowe alijenga urafiki na urio kamanda wa jeshi urafiki uliompelekea mbowe kuingia matatani Nani Kati yenu alimuuliza mbowe kuhusu urafiki wake na urio?
MATAGA ni jina watu walilojiita wenyewe, Ngogwe ilitokana na Zitto kutumia ramani ya uzalishaji ngogwe kutaka kuipasiha ACT. Nyumbu limetokana na nini?
 
Na huo na ujinga na UPUMBAVU WA CHADEMA.
WAO WAKO SAHIHI TU MUDA WOTE
Utashangaa chama kina neno demokrasia ndani yake, ila wao demokrasia ni kuwa upande wao na mawazo kama yao, ukitofautiana nao tu taabu!!
 
Hatuna shida na misimamo ya watu,lakini tutapinga unafiki.

Huyu shqngazi anaposema Samia ni mama shupavu kwamba ameichukua nchi iliyoharibiwa na Maghu,sasa tujiulize wakati Maghu anaharibu nchi,Samia alikuwa wapi?

Kama Ccm ya Samia imekuwa shetsni na imeharibu uchumi wa nchi hii,haiwezekani,alipoingia Mzenj tu,tayari ccm imekuwa maraika! kama shqngazi amebadili mtazamo kwa vile aliyepo Ikulu ni mzenj, tunaweza tukaelewa, kwamba hapa Kuna asari ya kulamba, lakini asitake kutuaminisha kwamba Kuna tofauti ya Samia na "presidency" uraisi wa nchi hii kama taasisi

Jinsi alivyomtwanga Ndugsi, jinsi alivyotengrneza kesi ya ugaidi ya Mbowe, Samia ni Hana tofauti na Maghu, wote ni wezi tu,
JUAN MANUEL kama huwezi kuona tofauti ya Magufuli na Samia utajuwa una mtindio wa ubongo, hata ukienda hospitali huwezi kupona.

Haijalishi kuwa Samia alikuwa Makamu wa Rais lakini wenye akili tunajuwa maamuzi makubwa ya Magufuli alikuwa hashirikishwi.
 
Back
Top Bottom