Tatizo liko kwa Wana CDM, hawapendi mawazo mbadala. Kwa mfano mimi posts zangu zote za 2015-21 zilikuwa za kushambulia utawala wa Magufuli kwa vile ulikuwa unakandamiza demokrasia, unanyima uhuru wa maoni, unateka, kuua na kutesa.
Sasa alipokuja Samia na kubadili mambo yote kwa 360°, sikuona haja ya kumpinga na nikaanza kumsifia. Na nikawa nawakosoa akina Mbowe na Lissu namna wanavyoendesha siasa zao kwa mtindo uleule dhidi ya Samia. Ushauri wangu mmoja ni huu hapa;
Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
Wakaniona mimi ni CCM
Ifike mahali tutambue kama chama cha upinzani watambue wanataka nini na siyo siasa za mihemuko ambapo wanapinga chochote cha Serikali