Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hata Figo alipe tuAtalipa chochote alicho nacho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Figo alipe tuAtalipa chochote alicho nacho.
Kwani rais wako ni raia wa wapi?Nitengeneze defence team ya nini ? Niipeleke nchi za nje kwenye nchi huru ya nje ya nchi ya Zanzibar nchi ya watu wengine?
MkuuKama ndivyo, Shangazi hashindwi kukazia hukumu hapo Bara..
Na ya mh. Membe je?
Hahaha..Mkuu
Watu wamepanikishwa sana na hii hukumu.
Mmoja mmoja wanaanza kujitokeza kwa kivuli cha kumuonea huruma Musiba.
Seems wakati anawachafua watu, hakuwa peke yake, lazima alikuwa na contents creators na kadhalika.
Je katika hukumu MVJAPISHAJJ amepona kweli?
Wakati wanakenua kipindi zinatoka chapisho za kuchafua walijiona miamba sana.Hahaha..
Sijaona hukumu, ila kwa kawaida mchapishaji ni mhusika kamili.
Si ajabu waliaji na wasaga meno ni wengi hapa!
Uraisi wa muungano ni jambo la muungano lakini mambo ya vyombo vya habari sio mambo ya muungano kila nchi iko kivyake ina sheria zake na usajili wake na mawaziri wakeKwani rais wako ni raia wa wapi?
Wale waliokuwa wakimshsbikia Musiba na kumkejeri shangazi wajitokeze kumsaidia Musiba kwa kuifuta kesi na ushindi.Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.
Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana
Kupitia akaunti yake ya twitter, Fatma Karume ameweka wazi kuwa, mwaka huu 2022 atahakikisha anakazia hukumu ili alipwe stahiki zake.
Swali la.kujiuliza. endapo bwana Musiba atashindwa kulipa, ama.hata kama.mali zake zikikusanywa na kuonesha hana uwezo wa kulipa kiwango hicho. Nini kitajiri?
Jasusi mbobezi naye ameonekana kufuatilia hukumu yake ili aweze kukazia madai ya haki zakeView attachment 2092335
View attachment 2092336
Mfano wa Japan na Tanzania sio sawa na Zanzibar na Tanzania. Unapotosha kwa makusudiNi sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!
Zanzibar ni nchi kamili nenda kasome katiba ya Zanzibar inaeleza wazi kabisa bila kumeza maneno kuwa Zanzibar ni nchiMfano wa Japan na Tanzania sio sawa na Zanzibar na Tanzania. Unapotosha kwa makusudi
“Nchi” ambayo Rais wake anaamuliwa Dodoma then Lugalo🙂Zanzibar ni nchi kamili nenda kasome katiba ya Zanzibar inaeleza wazi kabisa bila kumeza maneno kuwa Zanzibar ni nchi
Hajui wale mashehe wa Zanzibar waliletwa kwenye mahabusu za bara.... Au anamfahamu Aboud Jumbe?Zanzibar na Tanganyika zina mikataba ya kubadilishana wahalifu.
Lakini inawezekana una hoja hapa. Kwa nini usitengeneze defence team kumtetea Musiba? Hii hoja inaweza kuzungumzika Mahakama ya Rufaa
Vipi kuhusu kuhusu dude zito linalokuja la Jasusi Mbobezi? Mahakama ina jurisdiction kumhukumu Musiba pia?
Unateseka ukiwa wapi? Kwahiyo unataka kusema wewe unajua sheria zaidi ya Mahakama kuu ya Tanzania?Fatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake
Msiba ni mwanahabari aliye nchi ya Tanganyika yeye wala sio raia wa Zanzibar na hana mpango wa kuwa raia wa nchi ya Zanzibar
Pili Musiba na vyombi vyake vya habari. Vimesajiliwa Wizara ya habari ya Tanganyika.
Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!
Hiyo hukumu anayokazia nchi za nje kwenye nchi ya nje ya Zanzibar yenye katiba yake,Raisi wake,Jaji mkuu wake na wimbo wa taifa wake watajuana huko huko akazie atakavyo .
Wale Masheikh wa Uamsho waliokaa jela za Tanganyika miaka nane walikua wanatoka nchi gani? naomba jibuFatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake
Msiba ni mwanahabari aliye nchi ya Tanganyika yeye wala sio raia wa Zanzibar na hana mpango wa kuwa raia wa nchi ya Zanzibar
Pili Musiba na vyombi vyake vya habari. Vimesajiliwa Wizara ya habari ya Tanganyika.
Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!
Hiyo hukumu anayokazia nchi za nje kwenye nchi ya nje ya Zanzibar yenye katiba yake,Raisi wake,Jaji mkuu wake na wimbo wa taifa wake watajuana huko huko akazie atakavyo .
tupe source mkuu ,habari bila source ni saw na uongo [emoji3][emoji3]Mkuu
Watu wamepanikishwa sana na hii hukumu.
Mmoja mmoja wanaanza kujitokeza kwa kivuli cha kumuonea huruma Musiba.
Seems wakati anawachafua watu, hakuwa peke yake, lazima alikuwa na contents creators na kadhalika.
Je katika hukumu MVJAPISHAJJ amepona kweli?
Tuonesheni jinsi alivyowachafua hao watuWakati wanakenua kipindi zinatoka chapisho za kuchafua walijiona miamba sana.
Najaribu kumshawishi Maxence Melo naye akafungue kesi ya kudai fidia kwa sababu naye ni mhanga wa mdomo chafuzi wa Musiba.
Ni mifano inafanana sema kichwa chako kigumu kuelewa , nahis ww ni F material [emoji3]Mfano wa Japan na Tanzania sio sawa na Zanzibar na Tanzania. Unapotosha kwa makusudi
Na Fatma kama mwanasheria tena mzoefu hili halijui au wakati anafungua kesi huko Zenji hili hakulijua?Fatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake
Msiba ni mwanahabari aliye nchi ya Tanganyika yeye wala sio raia wa Zanzibar na hana mpango wa kuwa raia wa nchi ya Zanzibar
Pili Musiba na vyombi vyake vya habari. Vimesajiliwa Wizara ya habari ya Tanganyika.
Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!
Hiyo hukumu anayokazia nchi za nje kwenye nchi ya nje ya Zanzibar yenye katiba yake,Raisi wake,Jaji mkuu wake na wimbo wa taifa wake watajuana huko huko akazie atakavyo .
Acha kudakia vitu bila kusoma mimi sijaongelea popote mahakama kuu ya Tanzania wewe hata kusoma hujui?Unateseka ukiwa wapi? Kwahiyo unataka kusema wewe unajua sheria zaidi ya Mahakama kuu ya Tanzania?
Watoto wa mwendazake mnataabika sana
Una akili zaidi kushinda Mahakama iliyoamua hivyo??Fatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake