YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hayo muulize nwenyewe simjibiiNa Fatma kama mwanasheria tena mzoefu hili halijui au wakati anafungua kesi huko Zenji hili hakulijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo muulize nwenyewe simjibiiNa Fatma kama mwanasheria tena mzoefu hili halijui au wakati anafungua kesi huko Zenji hili hakulijua?
Swali kawaulize Zanzibar ambao ndio waliowaleta Tanzania bara hao wazanzibari wenzao Jumbe na hao mashehe unataka watanganyika tuwajibie wazanzibari? Jumbe alikuwa Raisi wao na hao mashehe walikuwa mashehe wao wa nchi yao huru nchi ya Zanzibar wakawaleta Tanganyika waulize wenyewe sio sisi watanganyikaHajui wale mashehe wa Zanzibar waliletwa kwenye mahabusu za bara.... Au anamfahamu Aboud Jumbe?
Wakati huu serikali ilikua kiganjani mwake, si Siro wala Mabeyo angemgusaBwana Musiba enzi hizo kabla mganga wake hajafa😁😁😁
View attachment 2092340
Jasusi gani mbobezi huyo alielizwa na mjanja Zitto Kabwe?Zanzibar na Tanganyika zina mikataba ya kubadilishana wahalifu.
Lakini inawezekana una hoja hapa. Kwa nini usitengeneze defence team kumtetea Musiba? Hii hoja inaweza kuzungumzika Mahakama ya Rufaa
Vipi kuhusu kuhusu dude zito linalokuja la Jasusi Mbobezi? Mahakama ina jurisdiction kumhukumu Musiba pia?
Kwani rais wako ni raia wa wapi?
Mashehe wa Uamsho walipofutiwa kesi yao walikuwa mahabusu ipi?Ni mifano inafanana sema kichwa chako kigumu kuelewa , nahis ww ni F material [emoji3]
MkuuJasusi gani mbobezi huyo alielizwa na mjanja Zitto Kabwe?
Huyu ni mwizi tu.na ujanja wake uliishia pale interpol walipozifunga akaunti zote zilizokuwa na utangamano na Muamar Ghaddafi.
Hana lolote huyo.
Kwan wote walio jera wana hatia ? au hawakuhukumiwa mahakamani?Kwa hiyo unataka kusema kuwa Mahakama ilisikiliza shauri ambalo halina ushahidi?
Wewe fahamu hukumu imetoka anza kutembeza bakuli kuokoa figo za mtu zisipigwe mnada
narudia tena ww ni F material , muungano wetu una mipaka ,wale kesi yao inahusu maswala ya kiusalama wa muungano yaan wachochezi so kesi zao zinashukughulikiwa na vyombo vya dola vya muungano , Wewe ni F material [emoji3][emoji3]Mashehe wa Uamsho walipofutiwa kesi yao walikuwa mahabusu ipi?
Kwa hiyo unatuambia mwizi wa kuku Wa japan anaweza kushtakiwa nchi nyingine?
Acha kujifanya hamnazo
Yaan unamsusia mbuzi muuza supu , unategemea nn ? nipe source ya watu walio nje ya huo mfalakano ili na sis tujue tunasimama wap , watz tunajielewa siku hz hatuburuzw km magunia [emoji3]Akaunti ya Fatma Karume ya twitter ipo verrified.
Nenda post ya kwanza nakili handle yake kisha kamtembelee uone kama nadanganya.
Kumbuka yatima hadeki
umeandika nn Sasa Fatma aise kua ana adabuFatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake
Msiba ni mwanahabari aliye nchi ya Tanganyika yeye wala sio raia wa Zanzibar na hana mpango wa kuwa raia wa nchi ya Zanzibar
Pili Musiba na vyombi vyake vya habari. Vimesajiliwa Wizara ya habari ya Tanganyika.
Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!
Hiyo hukumu anayokazia nchi za nje kwenye nchi ya nje ya Zanzibar yenye katiba yake,Raisi wake,Jaji mkuu wake na wimbo wa taifa wake watajuana huko huko akazie atakavyo .
Wewe ndio “fa fa fa “ pro maxNi mifano inafanana sema kichwa chako kigumu kuelewa , nahis ww ni F material [emoji3]
Unamkumbuka Mh. Mohamed Seif Khatib (rip)..Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwani anaishije kwa sasa na kwa nini asiende kukopa kwa yule basha wake wa Msoga aliyemlipia mahariHiyo ndiyo inaitwa omuntu omuntu yaani man to man.
Musiba sasa hivi anaishi maisha magumu sana kuliko alivyokuwa anaishi wakati yupo channel ten