Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

Kama ndivyo, Shangazi hashindwi kukazia hukumu hapo Bara..
Na ya mh. Membe je?
Mkuu
Watu wamepanikishwa sana na hii hukumu.

Mmoja mmoja wanaanza kujitokeza kwa kivuli cha kumuonea huruma Musiba.

Seems wakati anawachafua watu, hakuwa peke yake, lazima alikuwa na contents creators na kadhalika.

Je katika hukumu MVJAPISHAJJ amepona kweli?
 
Hahaha..
Sijaona hukumu, ila kwa kawaida mchapishaji ni mhusika kamili.
Si ajabu waliaji na wasaga meno ni wengi hapa!
 
Hahaha..
Sijaona hukumu, ila kwa kawaida mchapishaji ni mhusika kamili.
Si ajabu waliaji na wasaga meno ni wengi hapa!
Wakati wanakenua kipindi zinatoka chapisho za kuchafua walijiona miamba sana.

Najaribu kumshawishi Maxence Melo naye akafungue kesi ya kudai fidia kwa sababu naye ni mhanga wa mdomo chafuzi wa Musiba.
 
Kwani rais wako ni raia wa wapi?
Uraisi wa muungano ni jambo la muungano lakini mambo ya vyombo vya habari sio mambo ya muungano kila nchi iko kivyake ina sheria zake na usajili wake na mawaziri wake

Musiba ni mwandishi wa habari na magazeti yake usajili wake ni wa nchi ya Tanganyika sio nchi ya nje ya Zanzibar
 
Wale waliokuwa wakimshsbikia Musiba na kumkejeri shangazi wajitokeze kumsaidia Musiba kwa kuifuta kesi na ushindi.
 
Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!
Mfano wa Japan na Tanzania sio sawa na Zanzibar na Tanzania. Unapotosha kwa makusudi
 
Mfano wa Japan na Tanzania sio sawa na Zanzibar na Tanzania. Unapotosha kwa makusudi
Zanzibar ni nchi kamili nenda kasome katiba ya Zanzibar inaeleza wazi kabisa bila kumeza maneno kuwa Zanzibar ni nchi
 
Hajui wale mashehe wa Zanzibar waliletwa kwenye mahabusu za bara.... Au anamfahamu Aboud Jumbe?
 
Unateseka ukiwa wapi? Kwahiyo unataka kusema wewe unajua sheria zaidi ya Mahakama kuu ya Tanzania?

Watoto wa mwendazake mnataabika sana
 
Huyu mwanamama mda mwingine unaweza kudhani ni mwezi mchanga anajilopokeaga sana anajiona muongeaji huku hajui kuongea, juzi kabishana na dada mmoja na kusema eti tanzania 60% ni waislam ndipo nilipoona huyu kichaa yeye anafikiri bara ni zenji🙄🙄🙄🙄
 
Wale Masheikh wa Uamsho waliokaa jela za Tanganyika miaka nane walikua wanatoka nchi gani? naomba jibu
 
tupe source mkuu ,habari bila source ni saw na uongo [emoji3][emoji3]
 
Wakati wanakenua kipindi zinatoka chapisho za kuchafua walijiona miamba sana.

Najaribu kumshawishi Maxence Melo naye akafungue kesi ya kudai fidia kwa sababu naye ni mhanga wa mdomo chafuzi wa Musiba.
Tuonesheni jinsi alivyowachafua hao watu
 
Na Fatma kama mwanasheria tena mzoefu hili halijui au wakati anafungua kesi huko Zenji hili hakulijua?
 
Unateseka ukiwa wapi? Kwahiyo unataka kusema wewe unajua sheria zaidi ya Mahakama kuu ya Tanzania?

Watoto wa mwendazake mnataabika sana
Acha kudakia vitu bila kusoma mimi sijaongelea popote mahakama kuu ya Tanzania wewe hata kusoma hujui?
 
Una akili zaidi kushinda Mahakama iliyoamua hivyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…