Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hana njaa kama kama yule Waziri wa mambo ya njeTanganyika hakuna haki. Si anaruhusiwa kule Zenji lkn.
Huyu ni nguli wa sheria akitaka kazi atafanya hata huko duniani sio lazima hapa.
Tunazidi kupata sababu ya kuiondoa CCM madarakani mwaka huu. Huu ni ushahidi tosha kuwa hoja za Lissu za Uhuru, haki na maendeleo ya watu ndo hoja za msingi kabisa kwenye uchaguzi huuCCM ni takataka
Tunazidi kupata sababu ya kuiondoa CCM madarakani mwaka huu. Huu ni ushahidi tosha kuwa hoja za Lissu za Uhuru, haki na maendeleo ya watu ndo hoja za msingi kabisa kwenye uchaguzi huu. Mambo anayofanyiwa tena mjukuu na mtoto wa Raisi mstaafu yanatakiwa kutuamsha mara Mia watanzania mwaka huu kuwa nchi hii imefika mahali pabaya sana kwenye misingi ya haki.Kule walimtimua baada ya kuona mwelekeo wa kutoshinda shauri lake na Ofisi ya judge mkuu. Wakaona isiwe shida
Tunazidi kupata sababu ya kuiondoa CCM madarakani mwaka huu. Huu ni ushahidi tosha kuwa hoja za Lissu za Uhuru, haki na maendeleo ya watu ndo hoja za msingi kabisa kwenye uchaguzi huu. Mambo anayofanyiwa tena mjukuu na mtoto wa Raisi mstaafu yanatakiwa kutuamsha mara Mia watanzania mwaka huu kuwa nchi hii imefika mahali pabaya sana kwenye misingi ya haki.Iko siku tutafuta na PhD ya mgombea wa CCM... mtu KILAZA vile eti ana doctorate, shame!
Shetani anapoamua kumtesa binadamu huwa hana sababu.Hawajaweka wazi makosa yake?
Mnachokipanda mtakivuna.
Mjenga hoja ya kufukuzwa ni mwanasheria mkuu wa serikali, ambaye ni mteule wa rais aliyetokana na CCM. Mjumbe wa Kamati ya mawakili ni Naibu Mwanasheria Mkuu. Katibu wa Kamati ya mawakili ni mtumishi wa serikali aliyechini ya Naibu Mwanasheria Mkuu. Hapo connection ya CCM ipo wazi.CCM ndio wamemfuta uwakili?!
Na mjukuu pia!Hivi hawafaham kwamba huyu ni Mtoto wa Rais.!!
Kama ana followers wa kutosha!!!Shangazi wa twitter ndio kazi iliyobakia
Sijuwi, tafadhali nijuze.Ina maana hujui?
Duh!, Hiyo inatosha kumzuia ku practice?Kosa lake ni kumshambulia Mwanasheria Mkuu wa serikali kuwa hana sifa hiyo na kwamba Rais alikosea kumteua.
Sheria haitaki watu waoga......maamuzi hayo yatakuwa fundisho kwake na kwa wenye tabia za kudharau mamlaka.
hakuna ambaye yupo juu ya sheria... haijalishi wewe ni nani au mtoto wa nani... sheria ni msumeno
Whenever the fight is for the right course count me in....Ndio maana Tundu Antiphas Lissu anasisitiza juu ya Uhuru, haki na maendeleo ya watu!!!
Huu ni uonevu wa kiwango cha juu kabisa kuwai kutokea katika nchi yetu. Huu ni ushahidi tosha kuwa Magufuli hawezi vumilia watu wenye mawazo tofauti na yeye.
Huu ni ushahidi tosha kuwa haki ya msingi ya kuwa na uhuru wa mawazo ilivyo chini ya katiba inanyimwa kwa watanzania na Awamu hii ya Tano.
Sijui Familia ya Baba wa Taifa wa Zanzibar watalichukuliaje hili.
Tuna kila sababu watanzania kumtoa magufuli mwaka huu. Tusipomtoa tutaangamia kweli. Kura zote ziende kwa Tundu Antiphas Lissu mwaka huu
Polee Fatma. Mungu yu pamoja na wewe.
Mmonyoko wa maadili, na inasikitisha sana kwa mtu unayejitambua kuandika kauli mbaya kama hii. I hope kizazi kama wewe mnapaswa mfundishwe uzalendo.Iko siku tutafuta na PhD ya mgombea wa CCM... mtu KILAZA vile eti ana doctorate, shame!
Watoto wote wa Mwl JK nyerere hakuna mwenye kazi ya maana sana lakini wanaishi raha mustarehe kwa kodi zetu.Kikao cha kamati ya maadili ya Mawakili kilichokaa leo tarehe 23/9/2020 kimemkuta na hatia ya kukiuka maadili kwa kiwango cha juu, wakili Fatma Karume mwenye roll namba 848 na hivyo kuamuru jina lake liondolewe (permanent removal) katika orodha ya mawakili Tanganyika.
September mwaka 2019, wakili Karume alisimamishwa kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara, maamuzi yaliyotolewa na Jaji Feleshi kwenye kesi iliyofunguliwa na Ado Shaibu akipinga uteuzi wa mwanasheria mkuu wa serikali kuteuliwa kimakosa na Rais Magufuli na kesi iliondolewa.
Mahakama kuu iliamuru Fatma apelekwe kamati ya maadili ya mawakili kwa kosa la kushambulia ofisi ya mwanasheria mkuu ambae ndiye alikuwa wakili wa Ado Shaibu katika kesi hiyo.
Pia, soma=> Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili
===
Akijibu hoja ya mdau kwenye mtandao wa twitter aliyemuomba akate rufaa dhidi ya uamuzi huo, Fatma amesema hatafanya hivyo kwa maelezo kwamba muamuzi wa rufaa yake sio huru.
"Ukiingia kwenye mapambano unahitaji kujua nani unapambana nae, kanuni za mpambano na uhuru wa muamuzi. Iwapo kanuni haziko wazi na muamuzi hayuko huru, huo sio mpambano bali upotevu wa muda. Hifadhi nguvu zako kwa mpambano unaoweza kushinda". Yalinukuliwa majibu ya Fatma Karume.