Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndio maana Tundu Antiphas Lissu anasisitiza juu ya Uhuru, haki na maendeleo ya watu!!!
Huu ni uonevu wa kiwango cha juu kabisa kuwai kutokea katika nchi yetu. Huu ni ushahidi tosha kuwa Magufuli hawezi vumilia watu wenye mawazo tofauti na yeye.
Huu ni ushahidi tosha kuwa haki ya msingi ya kuwa na uhuru wa mawazo ilivyo chini ya katiba inanyimwa kwa watanzania na Awamu hii ya Tano.
Sijui Familia ya Baba wa Taifa wa Zanzibar watalichukuliaje hili.
Tuna kila sababu watanzania kumtoa magufuli mwaka huu. Tusipomtoa tutaangamia kweli. Kura zote ziende kwa Tundu Antiphas Lissu mwaka huu
Polee Fatma. Mungu yu pamoja na wewe.