Kabisa mkuu.Upo sahihi Mkuu.
UPANDE WA PILI UNAPASWA KUTOA NENO ILI TUBALANCE STORY.
Ndio Mkuu Single mazas wamepitia mengi au kwa ujinga wao au kwa bahati Mbaya wengi wa a maumivu sana...Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia"...
HahahaSawa, wacha tuangalie KATIBA inasemaje....