sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kauli hizi ni batili hadi Upande wa pili (mme wake) nao upewe nafasi kutoa ya moyoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Timu kataa ndoa tumepata mwanasheria
Hahhaaaa watu mna Utani wa Jadi
[emoji1][emoji1][emoji1]Ko anti ni kataaa ndoa
Duu Hadi watoto wa wadosi nao wanaumizwa?Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Hako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.Ndio Mkuu Single mazas wamepitia mengi au kwa ujinga wao au kwa bahati Mbaya wengi wa a maumivu sana...

Weee. Usiombe kuyaskia ya upande wa pili.Hayo ni yake.
Tumeona upande mmoja hatujaona upande wa pili.
Tuletee na mumewe tusikie upande wa pili.
[emoji3][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Timu kataa ndoa tumepata mwanasheria
Ila nyie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Timu kataa ndoa imepata mwanasheria tena nguli
Sio kua hana akili Kuna watu hawako interested na material things wako na utu na heshima zaoHako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.
Mimi ngemuoa mtoto wa rais jumapili ingekua off ya wafanyakazi wote wa ndani. Kuanzia deki, kuosha vyombo, kupika ingekua Mimi ili tu huku nimevaa msuli malkia wangu ajisikie kupendwa.
Judging from one side viewpointKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Sijui kuhusu mume wake. Namkubali sana Fatma ila siwezi kuoa mke mwanasheria kama Fatma maana ataleta mambo ya sheria kwenye ndoa. Wanakuwa wasumbufu wale full kusomewa vifungu hata kwenye unyumbaKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".