Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

Bado natafuta shangazi alipotaja CHADEMA, sijaona ila nahisi we happyxxx una chuki na CHADEMA,
 
Narudia tena hii kauli yangu...

Mara nyingi Kiongozi wa Nchi akiwa Muislam huwa wakatoliki wanaleta Sana chokochoko..

Mimi sio Muislam ila hii trend nimeiona Sana ,Wakristo hasa Katoliki mna matatizo gani nyie?

Matokeo ya roho mbaya za choyo na ukatili za Wakristo waliowahi kuwa MaRais wote wamelala.
 
Kumbe huu uchawa wako kwa Samia ni sababu ya uislamu wako tu?
 
Mbona utawala uliopita mapadre ndio walikua mstari wa mbele kutoa waraka na matamko kila leo?

Munga, bagonza, TEC, niwemungizi n.k walikua wakiusema Sana utawala uliopita? Au tumeshasahau?

Kama pia wanaona cha kusema sasa ni haki yao pia
 
Moja ya makosa makubwa Chadema wanafanya ni kuruhusu lila mtu kuwa Msemaji wa Chadema kwny Mitandao

Freeman Mbowe kishaliona hilo na kulikemea hadharani lakin hawasikii la muadhini wala la mnadi sala

inawezekana pia hii inafanywa na watu maalum kwa lengo maalum la kuibrabd Chadema kuwa chama cha wanaharakati wasio na muelekeo wala heshma ya uhuru kwa wengine
 
Naona washaanza kushikana wenyewe kwa wenyewe.

Zamani wenyewe walikuwa wamempa jina "shangazi wa taifa........." .
 
anajua usiyoyajua

Nyuma ya Pazia wanaongea na Senior Officers, Mawaziri, Makatibu wakuu, Maafisa Usalama n.k na mambo yao binafsi yameanza kufunguka hasa baada ya Kinana kupewa Umakamu wa Mwenyekiti

wakija nje wanajifanya wako very strict na maigizo mawili matatu sijui kufukuza covid 19 halafu jion wanaenda kwny Concert na wale wanaokwamisha maazimio yao ya Chama

amkeni kataa unyumbu na wewe shirikiana na yeyote unaeona ana maslahi kwako na ukija kwny mitandao igiza kama wao wanavyoigiza


wenzio wanaingia ndani wanazunguka kibuyu cha asali wanalamba wakimaliza wanatoka nje wanakuimbisha Katiba mpya


Huyu mama anatia huruma saana. Ndio maana akiwatetea mashoga alisema eti mtu anaruhusiwa kuutumia mwili waka atakavyo. Kwake maadili au dini hazina nafasi. Halafu mtu unakuwa serious kusikiliza kiumbe kama Fatuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…