Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

Miaka 100,wote mliosoma hii meseji,hamtakuwepo,pamoja namimi mwenyewe niliyeandika,bila kuwasahau wabunge na mawaziri waliopitisha suala la bandari.Tuwe wazalendo,kwa kuangalia manufaa na athari za huo mkataba,kwa watakaokuwepo mbeleni,nasisi pia.
 
Wameshindwa kujibu maswali muhimu na rahisi:

1) Mkataba ni wa miaka mingapi?

2) Nani atakuwa akimsimamia mwingine pale bandarini -- TPA ama DP World?

3) Tusiporidhika nao kama taifa, au tukiona utendaji wao sasa hatuuhitaji, tunaweza kuvunja mkataba?
 
Nimemsikiliza waziri alichoongea pamoja na michango ya wabunge,nimejiridhisha nia ya mpango huu ni nzuri kabisa, shida pengine inaweza tokea kwenye mikataba ya utekelezaji kama wataalam wetu hawatakua makini kwenye mikataba watakayoingia TPA na DPW.
Ulitegemea michango ya wapiga-debe iweje, mkuu? Kama isemwavyo, Mwamba ngoma huvutia kwake!
 
Hiki kishoga kina leta u ke na uzanzibar kinapoteza credibility kwenye taaluma yake... pia ni kweli kibaguzi ndo mana kwa Magufuli alikua hakachuji maneno yake ila kwa mama mpemba mwenzake kanajifanya kana ustaarabu.
 
Mkuu, kwa ufupi ni kwamba ni lazima mtu ajitoe ufahamu kabisa au awe kichaa kabla hajaridhia kifungo cha maisha kwenye mkataba kama huo. Kwa kauli ya Prof. Lipumba, ^Ni madudu^ yaliyomo kwenye hayo makaratasi.
 
Huu uzanzibar na utanganyika basi na uje kha! Muungano wa kinafiki, kinyonyaji na sasa umekuwa wa HUJUMA!. Of course ndiyo Hujuma! Hebu tufafanuliwe kilichowawasha hao wazanzibar kusahau kwao na kuingia mkataba wa kuuza raslimali za tanganyika! ?? Yangekuwa mema yangeanza na :nyumbani zenji. Tusidanganyane tena!
Hakuna haja ya kuwa na muungano wa hujuma!!!
 
Nimemsikiliza waziri alichoongea pamoja na michango ya wabunge,nimejiridhisha nia ya mpango huu ni nzuri kabisa, shida pengine inaweza tokea kwenye mikataba ya utekelezaji kama wataalam wetu hawatakua makini kwenye mikataba watakayoingia TPA na DPW.
😂😂😂 Mwanasiasa duniani kote hajawahi Kuwa na nia nzuri!
 
Kwa hiyo AG ndio anaangushiwa jumba bovu. Bunge limepitisha Azimio baadaye ni bunge ambalo wabunge wengi na Spika ni Watanganyika ndio waliruhusu na kuridhia huu mkataba. Kazi iko.
 
Kwanini hili saga wanalenga kuligeuza kuwa kisa raisi mwanamke kisa DP ni kampuni ya waarabu? Hapa la kuangalia ni terms za agreement hiyo na ndizo zinatia shaka.
Halafu shangazi likija suala la mzanzibar mwenzake kamwe hawezi kuwa against.
 
Mkuu Jasmoni Tegga
Ndio kusema show imeisha mkataba umesainiwa na bunge limegonga nyundo!

Kwa sasa ni kutulia na kuona utekelezaji sisi wananchi wa kawaida hatuna la kufanya tena.

Kama ilivyokua ile ya KIA mwaka jana…
 
Nimemsikiliza waziri alichoongea pamoja na michango ya wabunge,nimejiridhisha nia ya mpango huu ni nzuri kabisa, shida pengine inaweza tokea kwenye mikataba ya utekelezaji kama wataalam wetu hawatakua makini kwenye mikataba watakayoingia TPA na DPW.
Mivhango ya wabunge ambao haieleweki hata kama wao wameelewa walichoambiwa. Wengine na wengi wao walikuwa wakichangia kuwa mkataba na DP na bandari wakati tumeambiqa ile ni MoU hakuna mktaba bado.
Sasa hapo kama mbunge na waliowengi wengi hata hilo hawakulielewa bado wanachangia wakisema mkataba wa DP na bandari unategemea nini
 
kama umesikiliza vizuri jana hayo maswali yalitolewa majibu yake

1:Kuna mkataba wa msingi kati ya nchi na nchi,ambao ndio huo ulijadiliwa jana,baada ya bunge kupitisha azimio,kinachofuata ni TPA kuka na DPW kuandaa mikataba ya utekelezaji kwenye maeneo watakayokubaliana,kwenye mikataba hiyo ndio kutakua na muda. Na endapo TPA na DPW wakishindwa kukubaliana kwenye eneo lolote kwa miezi 12 mambo yataishia hapo, na TPA inaweza tafuta mwekezaji mwingine.

2: Kuhusu usimamizi kwenye mkataba wa msingi ni (a)kwenye uongozi 80% DPW (b) wafanyakazi wengine 80% wazawa, 20% wageni

3: ikitokea wakishindwana wataenda mahakamani kwa kutumia sheria za Tanzania , kama swala hilo litahusu mkataba kati ya TPA na DPW, kama mgogoro unasababishwa na nchi na nchi basi zitatumika sheria za kimataifa.
 
Kwanini hili saga wanalenga kuligeuza kuwa kisa raisi mwanamke kisa DP ni kampuni ya waarabu? Hapa la kuangalia ni terms za agreement hiyo na ndizo zinatia shaka.
Halafu shangazi likija suala la mzanzibar mwenzake kamwe hawezi kuwa against.

Hivi mkataba wameingia na Dubai kama nchi au kampuni!? Maana Dubai kama Zanzibar tu sio nchi kamili
 
Kipindi cha magufuli mbona alikuwa mstari wa mbele kumkosoa? Ila hawa wazanzibar ni wabaguzi mno
Ni wabaguzi sana. Hawezi kumpiga mzanzibar mwenzake hata kama anaona kakosea. Na ndio maana show anataka kuoaminisha kuwa ni kupinga dp kisa ni waarab wakat watu wanapnga aina ya mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…