zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hakuna mbunge aliyehongwa hakuna mtu anaweza honga mazwazwa ambayo Kila kitu husema ndio. Sasa Halima why ahongwe wakati ubunge alionao tu ni haramu? Asipofuata maelekezo anavuliwa tu kazi imeisha.Kuna tetesi kwamba Halima pia alipenyezewa ukwasi ili akianzishe mjengoni, kisha skipa apate gape la kutoa ufafanuzi ulio andaliwa kwa ustadi mujarab kabisa.
Punguza umbea. Tatizo mmekalia kufikiria ujinga. Kisa Halima kuonesha ukweli wa bandari kuchukuliwa ndio mnaandaa uongo?.Kuna tetesi kwamba Halima pia alipenyezewa ukwasi ili akianzishe mjengoni, kisha skipa apate gape la kutoa ufafanuzi ulio andaliwa kwa ustadi mujarab kabisa.
Mambo mrembo...😋Huyo Abeid Amani Karume (babu yake mzaa baba) tangu lini amekuwa muarabu?
Hamuachi yakhe!!
Kwani wehupendi kulamba asali...🤣So unamgwaya 🤣
Sawa mkuu, sinto msema tena shemeji hapa jamvini ili urafiki wetu uendelee kudumu...😊Punguza umbea. Tatizo mmekalia kufikiria ujinga. Kisa Halima kuonesha ukweli wa bandari kuchukuliwa ndio mnaandaa uongo?.
SipendiKwani wehupendi kulamba asali...🤣
Nothing strange in Tizii !!Kuna tetesi kwamba Halima pia alipenyezewa ukwasi ili akianzishe mjengoni, kisha skipa apate gape la kutoa ufafanuzi ulio andaliwa kwa ustadi mujarab kabisa.
Daima upande wa mama unakuwa na nguvu sana, hao waarabu ni wajomba/ babu zake Fatuma ,ushamba yeye ndie mshamba zaidi pamoja na uwakili wake magumashi.Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."
Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.
Pia Fatma ameandika
"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915
Mnyasa babu yake,bibi yake na mama yake ni waarabu halafu akashupalie kwao Makunduchi huku sio kwao.Karume ni mnyasa
Hiyo bandari wanamilikishwa wageni, ndo tatizo lilipo.......aache kututoa kwenye reli kwa hoja zake mfu za udini.Kwani nani aliyesema bandari inauzwa?
Huyu mama anapenda kusutana, sijui kasomea wapi sheria za kusutana...
Sio kweli maana kama DP world kuewa bandari hizi habari zilikuwepo toka mwaka jana feb ila kilichowashtua watu ni aina ya vipengele vya mkataba. Nadhani walio wengi wanakubali kuwa bandari inahitaji kubinafsishwa kwa watu wenye uwezo lakini kwa mikataba inayoeleweka. Mbona akina tundu lissu na slaa walikuwa wanamponda kikwete kuwa kauza migodi tena kwa kusema wamarekani wanampa net halafu wakati anarudi anapishana na ndege yao angani ikiwa imebeba madini au na hao walikuwa ni waarabu hao waliokuwa wamepewa migodi?Huu mkataba tatizo ni uarabu tu.ingekuwa ni wamarekani usingesikia kelele hizi.