Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Kama Ni muungano kwanini Kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar?
 
Zanzibar ni nchi yake sasa kumwita mzanzibar ni ubaguz kivip?
Asitumie polisi kujibu hoja za kisiasa nawao waandae makongamano ya hatuhitaji katiba!! Kutesa na kubambika watu kesi sio na haitokuwa jibu sahihi zaidi ya kuleta migogoro ya kisiasa isiyo na tija.
 

Una haki ya kuongea uwezavyo ila Rais halazimiki kutekeleza unachoongea
Happy Friday 💥
 
Pumba
 
Fatuma acha unafiki. Haukuona aibu kipindi watu zaidi ya 20 walivyouliwa 2001 ili tu baba yako awe Rais? What a shame!!!
 
Mkuu huwezi kumshutumu Fatma kwa makosa yaliyofanywa na baba yake. Hebu tumia akili basi.
 
Fatma ni ndumilakuwili tu....huyu baba yake alipokuwa rais walijilimbikizia ardhi nyingi sana pale Zanzibar na kunyang'anya wananchi hizo ardhi, aje hapa akanushe hili. Kwa kuwa walikuwa wananyang'anya wananchi ardhi kwa ubabe na uwongo yeye aliona fahari kujiita Mzanzibari. Tatizo la hawa wanaharakati wetu ni kwamba wanajisahau sana, Maria Sarungi anabwabwaja hovyo wakati baba yake alipokuwa waziri hapa nchini alifanya nini cha maana, aje hapa Maria atueleze mafanikio ya baba yake serikalini.
 
Natamani
Fatma na Maria wateuliwa nyadhifa fulani ili tuone maajabu yao kwenye utendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…