Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara

Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100💪🙏
Tanzania ina watanzania na wazanzibari!
 
Kama Ni muungano kwanini Kuna nchi ndani ya muungano inaitwa Zanzibar?
Utaifa lazima uwepo.
..
Mnyamwezi kwao ni tabora ..muhaya kwao ni kagera na mzanzibar ibakie kwao ni znz..
Hayo ya muungano ni mengine na si kuua asili wawe hawana kwao..baadae waitwe
Wakimbizi..
 
Mwambieni kuwa baba yake aliingia madarakani 2000 kwa kumwaga damu nyingi akisaidiwa na Mkapa, kipindi hicho hakuona aibu kuwa mzanzibari? Au kwa vile baba ndio alikuwa anaitaka hiyo nafasi.!
 
Mkuu huwezi kumshutumu Fatma kwa makosa yaliyofanywa na baba yake. Hebu tumia akili basi.
Nimemshutumu Fatuma kwa makosa yaliyofanywa na baba yake, au nimesema aache unafiki wa kujaribu kuaminisha watu kwamba anachofanya Samia ni kigeni kabisa kwa viongozi kutoka Zanzibar?!

Kwani ni kipi nilichosema ambacho ni uongo?! Ni akili ipi unayotarajia iniaminishe kwamba ushenzi huu unaofanywa na Samia hivi sasa ni kitu kigeni kufanywa na viongozi wa ZNZ kama ambavyo Fatuma anavyojaribu kuaminisha watu?!

Unataka nitumie akili au unataka nijitoe akili?!
 
Mungu unajua ni wako ww tu, Mungu ndio anamtenda Mbowe sasa kama hujui ni Mungu huyo.. Mungu anampa funzo Mbowe, na ww follower wa Div 0 mfuate msaidie, miaka 100 jela, pumbaf
Wewe mwenye Div.200 na Mbowe nani mashuhuri mnakalia ujinga na kukanyaga katiba. Huyu Mama tayari kashapishana na Ulimwengu.
 
Sentensi ya mwisho umevuruga yote uliyoyaandika
Ni ama nawe ni mtu wa visiwani au hujawahi kuishi visiwani lakini hiyo ndo mentality ya watu wa visiwani! Kwamba, watu wa bara ni watu wa hovyo hovyo tu, lakini wao ndio waungwana!

Kama sio, hebu nijuze kinachomshangaza Fatma Karume hapo ni kipi? Ni nini kama sio kujaribu kuaminisha watu kwamba viongozi kutoka ZNZ sio sehemu ya mambo ya hovyo hovyo yanayotokea Tanzania, na kwahiyo kwa mara ya kwanza anashangaa kuona Mzanzibari anafanya mambo ya hovyo?
 
Kwani baba yake Mzee Karume alikuwa ni Mkenya? Ukatili na udhalimu mkubwa umefanywa na Baba yake alipokuwa Rais wa Zanzibar. Asijitoe akili kuwa Wazanzibar hawawezi kuwa Waovu.
 
Back
Top Bottom