Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Hakuna ms.enge yeyote wa Chadema atakayekwenda kumkomboa Mbowe, watabaki wanahaha tu mitandaoni kwani wanajuwa wakifanya kinyume na hapo nao wanakwenda kuolewa jela na kunyea ndoo. Sitoshangaa kwa wanaharakati wa Tanzania kuanza kumkashifu Mbowe kwa sababu wanajuwa anakwenda kuolewa jela, tuna wanaharakati wapuuzi sana hapa nchini kwetu. Jana eti Lissu anawaamasisha wananchi wa Mwanza waingie mtaani kuandamana kudai katiba wakati yeye yuko Ulaya anabinywa pumbu na wazungu, kama siyo usenge huu ni nini? Kama kweli yeye ni mwanamme haswa, kwanini asirudi hapa Tanzania kuja kuandamana na wananchi wa Mwanza?
Atakuwa anasubiria kipindi cha kampeni 2025
 
Mimi kwa mara ya kwanza nimeelewa kwanini shetani (nyoka) alimtumia Hawa kumdanganya Adam.
Maana hutaipata nakwambia! Labda kama fasiri yako iwe ile la military target to attack - lengo huwa na weak or strong points?
 
Kwani babu yake Mzee Karume alikuwa ni Mkenya? Ukatili na udhalimu mkubwa umefanywa na Babu yake alipokuwa Rais wa Zanzibar. Asijitoe akili kuwa Wazanzibar hawawezi kuwa Waovu.
Hivi Mzee Abeid Karume ni baba yake au babu yake?
Ninavyo fahamu ni baba yake mzazi, yule wa 2000, Amani Karume (Ahmada) ni Kaka yake
 
Fatma ni ndumilakuwili tu....huyu baba yake alipokuwa rais walijilimbikizia ardhi nyingi sana pale Zanzibar na kunyang'anya wananchi hizo ardhi, aje hapa akanushe hili. Kwa kuwa walikuwa wananyang'anya wananchi ardhi kwa ubabe na uwongo yeye aliona fahari kujiita Mzanzibari. Tatizo la hawa wanaharakati wetu ni kwamba wanajisahau sana, Maria Sarungi anabwabwaja hovyo wakati baba yake alipokuwa waziri hapa nchini alifanya nini cha maana, aje hapa Maria atueleze mafanikio ya baba yake serikalini.
Mbunge Rorya miaka nenda rudi aliyeshindwa hata kuleta Barabara urefu wa kiatu chake... ,,,,, MWISHO WA SIKU BILA UNAFKI MAISHA HAYAENDI...
 
Usitikise kibiriti kwa dola ya TZ, waliambiwa, wakashauriwa, bado wabishi kama msh..a, haya sasa...
 
Tuliambiwa anatupeleka nchi ya ahadi [emoji56][emoji56]huenda ndio hiyo Mbowe anaanza kwenda yeye[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hivi kwa akili yako hiyo hiyo ndogo unadhani kuna kesi ya kweli hapo? Ni ccm imeona imebanwa mbavu kuhusu katiba mpya wakaona ngoja washushe joto kidogo nakwambia soon wanamwachia kwasababu mashtaka yote ni ya kusingizia tu kila mtu anajua isipokuwa wewe.

Who told you i have low IQ? Ww unaemtetea Div 0 ya Mbowe na follower wake na Mm wa First Class nani hana akili? Jibu mwenyewe sasa
 
Mi nilichoka aliposema watia nia ya urais wa mwaka 2025 eti wasubiri kwanza!
Nalog off
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara

Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100[emoji123][emoji120]
#HeIsNotATerrorist
 
Back
Top Bottom