Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Mtaimba kila wimbo ila gaidi ni gaidi tu

USSR
Muda sio mrefu utasikia wamemwachia kwasababu hawana ushahidi hata kidogo wa kiongozi wa serikali aliyeuawa na Mbowe.

Tangu lini polisi wa Tz wakashinda kesi? Hapo ni wanavuta vuta muda tu joto la katiba mpya lishuke kidogo wamwachie.
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara

Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100[emoji123][emoji120]
Acha uzuzu Samia ni Mzanzibari pure huwezi mtoa huko kwa mapenzi yako binafsi, kwani Mwinyi ni raisi wa wapi? Mbona husemi ni raisi wa Tanzania?
 
Muongomuongo tu.....

Babu yake alitawala....yako aliyokuwa nayo.....

Baba yake balozi ALI.....iko "mikabala yake".....

Shangazi Fatma aendelee tu kulamba CIROC na wataliano 🤣🤣
 
Wote akili zenu kama Mbowe tu, Div 0. Mbowe kajiona mbabe na kuanza kuzunguka nchi nzima kumdharau mh. Rais sbb ameona ni mwanamke kaona hamfanyi kitu, sasa atanyea debe hadi anyooke. Sasa mnapiga makelele mitandaoni, mfuateni msaidieni, nendeni, makamanda feki mmebakia mitandaoni tu, nendeni mkamsaidie. Sasa case yake inakuja kali sana, makamanda feki nendeni, acheni kuongea tu mitandaoni, mnajifunza ugaidi, miaka 100 jela pumbaf
Hivi kwa akili yako hiyo hiyo ndogo unadhani kuna kesi ya kweli hapo? Ni ccm imeona imebanwa mbavu kuhusu katiba mpya wakaona ngoja washushe joto kidogo nakwambia soon wanamwachia kwasababu mashtaka yote ni ya kusingizia tu kila mtu anajua isipokuwa wewe.
 
Mimi niliona aibu kwa mara ya kwanza kuwa mwanasheria siku shangazi alipoenda kuargue mahakamani kwa kutumia sheria iliyokuwa imeshafutwa. Yaani sitasahau maishani mwangu [emoji25][emoji25]
Sheria ipi hiyo na ali argue nini?Weka hapa otherwise hujui unachokisema.
 
WANAUFIPA INJE NA MATUSI HAKUNA KINGINE WANAFIKILIA. HIVI HAMUINI AIBU KUITWA KIWANDA CHA MATUSI?? KILA POST ZENU NYINYI NIKUPOST MATUSI TUUU. AU MNAMATATIZO GANI??
Cha ajabu matusi hayawasaidii....

Wampelekee VITUMBUA John Pambalu....
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara

Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100💪🙏
Aaaamin aaaaaamin 🙏
 
Acha uzuzu Samia ni Mzanzibari pure huwezi mtoa huko kwa mapenzi yako binafsi, kwani Mwinyi ni raisi wa wapi? Mbona husemi ni raisi wa Tanzania?

Kwahiyo kama ni mzazibari pure unatakaje? Acheni chokochoko jameniiiiii kha......

Mmeanza na mama SSH mkimaliza mtahamia kwa Hussein Mwinyi wa Kisemvule Mkuranga, halafu hata haiwasaidii kitu

Rais anaongoza kwa mujibu wa katiba
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara

Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100[emoji123][emoji120]
Aaah!! Weeeh!!
 
Kwa akili ya kawaida huwezi kumuacha mwendawazimu asiyeitakia mema nchi kwa kigezo democrasia.

Huyu lazima ashikishwe adabu vyombo vya dola vifanye kazi yake.

Hivi huyo Mbowe anademokrasia gani wakati hiyo Chadema amefanya ni mali yake.

Ameacha msiba wa kaka yake Dar kwa kisingizio cha Corona na kuzuia watu wasiende kwenye msiba.
anakwenda Mwanza anaitisha kongamano la katiba hii ni akili au matope.
FB_IMG_1627021739845.jpeg
 
We are well bro.

Wengine wanapiga kelele wakiwa ubeberuni..... sijui wanafikiri watanzania ni wajinga!? Watasikilizwa na wake zao na watoto zao tuu

Halafu kwanza watuambie huo wembe waliotumia na wanatishia kuutumia tena ni wa aina gani
Blessed🙏

🤣Kwa kinywa kipana kabisa ,Mdude Nyagali aliuongelea huo WEMBE....akasema "waliutumia huko nyuma" na wataendelea nao "kikazi"....

Hakika watueleze ,WEMBE GANI HUO.....

#KaziInaendelea
 
Blessed🙏

🤣Kwa kinywa kipana kabisa ,Mdude Nyagali aliuongelea huo WEMBE....akasema "waliutumia huko nyuma" na wataendelea nao "kikazi"....

Hakika watueleze ,WEMBE GANI HUO.....

#KaziInaendelea

Halafu mwenyekiti wake anakaa kimya wqla hamkemei
 
Halafu mwenyekiti wake anakaa kimya wqla hamkemei
....kwa sababu ALIMTUMA....

Siku ile mh.Mbowe alitoa sana "povu" la kuhamasisha MAANDALIZI YA UVUNJIFU WA AMANI KUPITIA MAKONGAMANO NA MAANDAMANO......
 
Back
Top Bottom