Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Hivi lile vazi la Red brigade, Isike aliwahi kulivaa wakati wa Magufuri ?

Anataka kumchimba mother mkwala mbuzi.

Wanaume walikuwa wanamcheki tu, wakamnyakua juu ya mbususu hata mzigo ajashusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Munamuoverrate sana huyo Mama

Karume, Salmini, Nyerere, Jiwe, Shein, Hawa watu wametawala kishenzi sana kwenye hii nchi, huyo mama hajafikia hata 25% yao.
 
Mama hana sauti ndio maana hata kwenye baraza la mawaziri ameacha yale matakata ya màgufool
 
Munamuoverrate sana huyo Mama

Karume, Salmini, Nyerere, Jiwe, Shein, Hawa watu wametawala kishenzi sana kwenye hii nchi, huyo mama hajafikia hata 25% yao.
Kwa africa huwezi kuongoza ukawa mwema... ...

Hata wananchi nao wapo washenzi vilevile
..
 
Mama hata wanawake wenzake wanamshangaa

View attachment 1864073
Nahitaji mke wa kuoa, awe ni Mzanzibar umri miaka 40 na kuendelea. Wanawake wa Kizanzibar wengi wao ni watu wakarimu ukiondoa wachache waliokengeuka kutokana na depression za kutokuwa na Waume kwa muda mrefu. Hali hii si kwamba inawafanya wajichukie wao wenyewe, bali hujikuta wanawachukia na wanawake wenzao, ni tatizo la Psychology.

Hivyo, bado natafuta mwanamke wa Kizanzibar ambaye hajakengeuka, Nina Imani wapo.
 
Mwamba hilo hitimisho lako limejishindia tuzo ya dhahabu toka kwangu. Magnificent.
 
Mungu unajua ni wako ww tu, Mungu ndio anamtenda Mbowe sasa kama hujui ni Mungu huyo.. Mungu anampa funzo Mbowe, na ww follower wa Div 0 mfuate msaidie, miaka 100 jela, pumbaf
Wananchi walilalamika sana kuhusu Jiwe na Mungu akatenda, sasa wameanza kwa mama, sijui itakuwaje
 
Sidhani kama umeelewa ulichoandika. Haahahh eti wew ndiye mtetez wa ccm, kweli ccm ina mapopoma mengi
 
So Mbowe aliwa time polis
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…