Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama
Kuna kundi lipo nyuma ndo linaongoza nchiMimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama hizi.
Mkuu nami hujiuliza swali kama hili, lakini baadaye huja kuhitimisha na hoja kwamba mashudu yote haya ni yeye persenal anayeyaasisi, kwa sababu jambo kubwa lolote litokeapo nchini, lazima ajulishwe na 'wasaidizi' wake.Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama hizi.
Ni ili maandiko yatimie......Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama hizi.
Karume asifananishe Gaza na Ngorongoro.. Gaza ni mali ya Waisrael na Ngorongoro ni mali ya Wadatoga na Wairaqwi aka wambulu.Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
View attachment 3078442
Wewe kila sehemu unachagua upande wawauaji.Karume asifananishe Gaza na Ngorongoro.. Gaza ni mali ya Waisrael na Ngorongoro ni mali ya Wadatoga na Wairaqwi aka wambulu.
Masai ni sawa na Arabs.. wavamizi masai kwao ni Sudan na Arabs kwao ni Arabin peninsula