FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

Zimmermann

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
3,506
Reaction score
2,606
Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
fatma1.PNG
 
Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama
Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama hizi.
Kuna kundi lipo nyuma ndo linaongoza nchi
 
Issue ya Ngorongoro ni miongoni mwa agenda za kipumbavu mno za CCM kuwahi kutokea Tanzania, unatengeneza tatizo wewe mwenyewe then ukipigiwa kelele unarudi "kulitatua" halafu unapongezwa!

Wale walioshangilia upumbavu ule tena kwa maandiko marefu Leo hii ndio hao hao wamerudi "kupongeza" tena kwa maandiko marefu na kelele za Furaha, aliyesema Tanzania Wengi wetu ni Wapumbavu hakukosea! Especially unapokua CCM!
 
Kwahio baadae ya kustopishwa kwa ujinga wa Ngorongoro, Tayari Wanyama hawataathirika tena, Ardhi haitafujwa tena, mazingira hayataharibiwa tena kama baadhi ya "Wapumbavu" humu JF walivyotaka kutuaminisha? Tuna laaana sio kidogo
 
Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama hizi.
Mkuu nami hujiuliza swali kama hili, lakini baadaye huja kuhitimisha na hoja kwamba mashudu yote haya ni yeye persenal anayeyaasisi, kwa sababu jambo kubwa lolote litokeapo nchini, lazima ajulishwe na 'wasaidizi' wake.

Hakuna Waziri ama Kamishina anayeweza kufanya jambo lolote bila kuagizwa ama kumfahamisha Rais, mambo yote yana baraka zake.

Kusimama na kusema huduma za kijamii zirejeshwe Ngorongoro ni mbinu zake za kutengeneza tatizo kisha kulitanzua aonekane ni mama mwenye kujali.

Kutoa malillioni ya matibabu kwa mhanga wa utekaji bila yeye kuwajua kwa majina waliofanya hayo ni kututusi raia tusioweza kumfanya chochote.
 
Mimi naona kama Mama anaingizwa mkenge na kikundi fulani ili utapokaribia uchaguzi iwe rahisi kumuondoa. Maana huwezi kuwa na malengo ya kugombea halafu ukafanya moves za kushangaza kama hizi.
Ni ili maandiko yatimie......
 
#JUZI: Serikali imefunga huduma zote za kijamii ikiwemo shule na hospitali wilayani Ngorongoro kama njia ya kuwashinikiza Wamassai wilayani humo kuhamia eneo la Msomera. Pia serikali imefuta baadhi ya vijiji na kuwaondoa wananchi hao katika daftari la kudumu la kupiga kura.

#CHAWA: Wamassai waondoke. Nchi hii ni yetu sote. Sio lazima wakae Ngorongoro. Kwanza huko Ngorongoro sio asili yao, wao walihamia mwaka 1700 waliwakuta Wadatoga na Wahadzabe. Waondoke tuendeleze uhifadhi. Na wasijaribu kushindana na serikali.

#JANA: Baada ya maandamano ya siku 6 ya Wamassai kupinga maamuzi ya serikali ya kuwaondoa Ngorongoro kwa nguvu, hatimaye Seriiali IMEFYATA MKIA na kukubali kurudisha huduma zote za kijamii zilizofungwa ikiwemo shule na huduma za afya. Pia serikali imebatilisha maamuzi ya kufuta vijiji na imewarudisha wananchi hao katika daftari la kudumu la wapiga kura.

#CHAWA: Serikali ya Samia ina huruma, inajali watu wake. Maamuzi ya kuondoa huduma za kijamii yaliyofanywa na wasaidizi wa Rais hayakua sahihi. Rais amerudisha huduma zote za kijamii na vijiji vilivyofutwa vimerudishwa. Wamassai nao ni Watanzania, wana haki ya kuishi maeneo yao ya asili bila kubughudhiwa. CCM hoyee. Mama Samia tano tena.

View: https://x.com/MalisaGJ_/status/1827239973336039554?t=-g7Xh-uE-V-XRgyQt-8spQ&s=19
 
Ardhi ya Ngorongoro ni ya Wairaqwi Wadatoga na wa Mbulu ndio binadamu wa kwanza kukalia eneo hilo.. kabla ya mtume wao kiwaonya kuwa kuna watu kutokea Sudan weusi kama mkaa Nubian kuja kuwaletea fujo na vitisho wahame haraka.. now vitisho vishaisha Masai ondokeni ngorongoro sio kwenu rudini Sudan nchi yenu ishapata uhuru 10 years ago huko
 
Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
View attachment 3078442
Karume asifananishe Gaza na Ngorongoro.. Gaza ni mali ya Waisrael na Ngorongoro ni mali ya Wadatoga na Wairaqwi aka wambulu.

Masai ni sawa na Arabs.. wavamizi masai kwao ni Sudan na Arabs kwao ni Arabin peninsula
 
Wewe kila sehemu unachagua upande wawauaji.

Wanasema ndege wafananao huruka pamoja.

Wewe ni miongoni mwa ndege wauaji maana unaruka nao pamoja kila sehemu.
 
Back
Top Bottom