Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.

Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea kiti cha Rais mara moja tu.

A0555909-BCCD-48DD-BF76-3157711C7A03.jpeg
Rais Samia alishika kiti cha Rais Kutokea March 2021 mpaka November 2025, itakuwa miaka 4 na miezi 6, ni zaidi ya miaka mitatu.

SSH hawezi kugombea URAIS 2030!

She’s barred by the constitution.

Fatma Karume aka Shangazi.
 
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.

Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea kiti cha Rais mara moja tu.

View attachment 3100843

Inamaana anataka kugombea 2030?
 
Katiba kwani Robot akipita mlangoni itamzuia asiingie?
 
Nakumbuka kainerugaba Msema kweli laishatoa kitabu cha Mafisadi wa ELimu yaani FOji Foji na Ngae ,viongozi wenye ELimu Feki ,mmoja wapo alitajwa Lukuvi..

Sasa Lukuvu ndiyo mshauri wa Rais halafu Katiba tu ya kugoogle kipengele na kukipata yeye ameshindwa.
 
B
Hilo lipo wazi kwa mujibu wa Katiba.
Lakini kwa nini tunahangaika na 2030 wakati hata 2025 hatujaifikia???
Samia's capacity to shield herself from exmagufulication will determine whether or not she is able to lead this nation when she is too old in 2030.
 
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.

Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea kiti cha Rais mara moja tu.

Rais Samia alishika kiti cha Rais Kutokea March 2021 mpaka November 2025, itakuwa miaka 4 na miezi 6, ni zaidi ya miaka mitatu.

SSH hawezi kugombea URAIS 2030!

She’s barred by the constitution.

Fatma Karume aka Shangazi.
Mwaka huo 2030 atakuwa anaondoka ikulu, kaanza kuongoza 2021 March ni sawa tu na aliyeanza Novemba 2020.
 
Back
Top Bottom