Wewe peke yako!Kwani inakuhusu binti karume sisi wabara tupo tayari aendelee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe peke yako!Kwani inakuhusu binti karume sisi wabara tupo tayari aendelee!
Dalili zinaonyesha kesha lamba utamu wa asali.Kwani alisema anagombea???
Kwani nimekutaja!Wewe peke yako!
Naam, japokuwa mara nyingi ni wapambe tu Huwa wanampa BICHWA wakihofia akija mtu mwingine hawataweza kuendelea kunufaika ni hivyo tu Mkuu.Dalili zinaonyesha kesha lamba utamu wa asali.
Gazeti hilo waandishi hawakujua hilo hadi waandike ujinga huo