Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mheshimiwa Lukuvi na ile speech yake ya kuelekea 2015 kuhusu wazenji leo Samia Mzenji ndio boss wake.ndrugu zango,
muelezeni tu Bi Fatma kwamba arilax , hakuna haja ya kupanic,
hayo yalikua ni maoni na mtazamo binafsi wa mh.waziri Lukuvi, japo pia tunaweza kufanya marekebisho kidogo ya kipengele hicho cha katiba na kumpa uwezo na kumruhusu Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania, kuendelea kuhudumu kama Rais hadi kipindi hicho alichokitaja 🐒
chadema waliweza, mpaka leo Mbowe ni chairman tangu kipindi cha mkapa hadi leo.
Naamini na nadhani waTanzania wanaweza kufanya hivyo pia 🐒
Hakuna aijuaye kesho inafanana vipi.