Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

Kuna watu wameanza kusema Samia hadi 2035.
Hao wanamletea uchuro sawa na ule uliomkumba hayati JPM. Kuna yule aliyekuwa mbunge wa jimbo la Katavi, mwarabu kwa mbali. Alimchuria JPM bila ya kujua, kwake ulikuwa ni uchawa kumbe kwa mwenzake ni tamko lililomletea kifo.
 
Tutabadilisha Tuli autaka uspika shida wapi%#£@!?
 
Inashangaza Wakili haelewi katiba. Mihemko tu.
 
Sasa Shangazi naye hapa anatuchanganya, ataongeleaje ya 2030 na kuacha ya 2025 hewani ? Aseme alichokuwa anataka kuwasilisha kwetu wapiga Kura. Au ndo Campaign zenyewe? Shangazi, with due respect, please elaborate further and keep us guided .
 
Katiba ni kitabu tu kichoandikwa na watu,tunaweza kukibadili akaongezewa Muda na ikiwezekana akawa life president,mikumi tena Kwa mama
 
Katiba ni kitabu tu kichoandikwa na watu,tunaweza kukibadili akaongezewa Muda na ikiwezekana akawa life president,mikumi tena Kwa mama
Kwa umri wake akiongeza 10 atakuwa president ajuza kama Mugabe.
 
ndrugu zango,
muelezeni tu Bi Fatma kwamba arilax , hakuna haja ya kupanic,

hayo yalikua ni maoni na mtazamo binafsi wa mh.waziri Lukuvi, japo pia tunaweza kufanya marekebisho kidogo ya kipengele hicho cha katiba na kumpa uwezo na kumruhusu Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania, kuendelea kuhudumu kama Rais hadi kipindi hicho alichokitaja 🐒

chadema waliweza, mpaka leo Mbowe ni chairman tangu kipindi cha mkapa hadi leo.
Naamini na nadhani waTanzania wanaweza kufanya hivyo pia 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…