Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

Mheshimiwa Lukuvi na ile speech yake ya kuelekea 2015 kuhusu wazenji leo Samia Mzenji ndio boss wake.

Hakuna aijuaye kesho inafanana vipi.
 
Endeleeni kumchuria na huyu kama mlivyomchuria mwendazake

 
Hao wanamletea uchuro sawa na ule uliomkumba hayati JPM. Kuna yule aliyekuwa mbunge wa jimbo la Katavi, mwarabu kwa mbali. Alimchuria JPM bila ya kujua, kwake ulikuwa ni uchawa kumbe kwa mwenzake ni tamko lililomletea kifo.
Samia will follow the same fate, na atakuwa Rais wa mwsho kutoka mkoani Zanzibar kwa miaka kadhaa ijayo.
 
Kwani inakuhusu binti karume sisi wabara tupo tayari aendelee!
Wewe ndio uko tayari kwa sababu ya maslahi yako mwenyee usitusemee sisi wengine

Naa nikupe taarifa tumechokaa na hata masikio yanakataa kumsikia

Mtuu anayesema tumeota mikiaaa kwelii

Kwa hiyo na wewe umeota mkiaa
 
Endeleeni kumchuria na huyu kama mlivyomchuria mwendazake

View attachment 3100921
sasa ndrugu mtoa hoja,
ama ulikua na majibu yako mfukoni na hukutegemea, na wala hupendi mawazo mapya na mbadala dhidi ya yaliko kwenye hoja mahususi?🤣

mambo haya ni rahisi sana ndrugu zango,
ni kupanga na kuamua tu, na kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana, hakuna kingine my friend 🐒
 
Wewe ndio uko tayari kwa sababu ya maslahi yako mwenyee usitusemee sisi wengine

Naa nikupe taarifa tumechokaa na hata masikio yanakataa kumsikia

Mtuu anayesema tumeota mikiaaa kwelii

Kwa hiyo na wewe umeota mkiaa
Tafuta kima wenzio wenye mikia!
 
Kwani alisema anagombea???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…