Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa

Kama tuna haki sawa za kulindwa ilikuaje yeye apigwe risasi zote hizo halafu wewe ukaachwa salama?
Ilikuwaje anyimwe kutibiwa ili hali wewe unatibiwa?
Majeruhi huyo wa risasi aliyepigwa risasi kwenye nyumba za viongozi wakati akitokea bungeni na dunia ikajua ilikuwaje anyimwe matibabu na kufukuzwa ubunge kwa madai kuwa ni mtoro na hajulikani alipo na zaidi hata pensheni na mishahara yake vikazuiwa asipewe?
 
Kwanini unamsemea? Sisi tunataka kufahamu mamlaka ya kutangaza kifo cha rais wetu kwenye ukurasa wake wa mtandao wa udaku aliitoa wapi. Source zake za marekani alizosema 'zimemhakikishia' rais wetu kafariki nazo zilikuwepo dar es salaam?
Kwani Majaliwa alipata wapi ujasiri wa kututangazia kuwa rais wetu yupo salama salimini ofisini akichapa kazi wakati haikua hivyo?
 
Hao uliowataja kwani wamekufa?
Hao hawana nafasi za mamlaka kama walizokuwa nazo.

There is a new sheriff in town na anaendesha nchi kwa style ambayo mwenyekiti mwenyewe wa CDM anamsifia kwenye majukwaa.

Sasa kwanini Lissu aogope, na kama anadhani usalama wake sio wa uhakika kwanini anarudi.

Au kwanini CDM isimlipie armed security 24/7 kama kurudi kwake ni muhimu kwao. Kwa baadhi ya watanzania mpaka sasa Lissu ni raia kama wengine hakuna ulazima wa walipa kodi kugharamia ulinzi wake kama vile na yeye ni kiongozi wa kiserikali.

Just asking aina maana ninatatizo akirudi na serikali ikimpa ulinzi anaotaka. But then kwanini na Lema nae asiombe huo ulinzi akirudi maana ata yeye anadai alitishiwa uhai.
 
upuuuz mtupu tanzania ina watu milion 62 yeye alindwe kama nan akae kwake hakuna wakumshambulia aishi kama alivyokuwa anaishi awali nchi yetu ni ya amani hata huyo lema alienda huko kwa manufaa yake binafisi na wala siyo mkimbizi
-alindwe Kwa sababu alipigwa risasi 16, na mpaka Sasa hakuna mshukiwa hata mmoja aliyekamatwa
 
-Lema alipigwa risasi ngapi?
 
..huyu Maza ni wa kwenda naye kwa tahadhari kubwa.

..kesi ya ugaidi aliyokuwa amembambikia Mbowe hukumu yake ni kifo au jela maisha.

..nadhani tuwe na tahadhari naye.
-sheria Gani inasema hivyo?
 
Mbona wewe hujapigwa risasi kama yeye??
 
Tubadilike tumpate rais kama Ruto wa Kenya ,watapatikana walioteka wenzao.
 
Muulizeni majaliwa vizuri
Kwanini unamsemea? Sisi tunataka kufahamu mamlaka ya kutangaza kifo cha rais wetu kwenye ukurasa wake wa mtandao wa udaku aliitoa wapi. Source zake za marekani alizosema 'zimemhakikishia' rais wetu kafariki nazo zilikuwepo dar es salaam?
 
-Lema alipigwa risasi ngapi?
Ina maana kigezo chako cha kutaka apewe ulinzi ni kumbembeleza tu ajione salama kwa sababu ya masaibu yake ya awali.

Au kuna real security concern akiamini kuna watu ambao bado wana motives za kutaka kumdhuru this time kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.

If the issue is current security concerns Lema nae anaweza omba ulinzi kwa sababu hizo hizo za kuamini kuna watu wanataka kumdhuru ndio maana yuko nje ya nchi, au?

Kuendekeza hayo matakwa huko sasa ndio kubembeleza kuwa na vyama vya upinzani. Maana bila ya ulinzi baadhi ya viongozi wao wanaweza susa kufanya siasa.

All the best kwake iwapo atapewa anachotaka ili ajione salama zaidi kwangu sio shida. Tatizo ni public message inayotumwa apparently Tanzania inamuhitaji kweli maana bila ya yeye upinzani auna credibility of existing.
 
kwani lissu siyo mtanzania?tangu lini lissu kawa raia wa nchi nyingine?lisu kazaliwa singida tena kijijini kasoma kijijini halafu wewe unasema si mtanzania.kupata special treatment ni lazima sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa haki za binadamu hata kama una wasi wasi na usalama wako unaweza kuomba ulinzi.shida iko wapi?tatizo si sababu sote ni watz na tunapaswa kupewa special treatment hapana tatizo usalama wake uko hatarini kutokana na matendo maovu aliyofanyiwa.
 
REMNANTS wake, HENCHMEN wake a. K.a SUKUMA GANG bado wako serikalini hadi Leo They are Salty, bitter, complaining hawashindwi kufanya jambo.

Pia wale waliopewa kazi Ile wako kitaa hadi Leo.

Mmoja wapo ni wewe.
Stupid nonsense!.
 
Kichekesho,awekewe ulinzi yeye kama nani?mnaleteana ujinga hapo wakati hata huko alikokimbilia ye ni fala tu wa kawaida na anaishi kwa sheria na kanuni za nchi hiyo km wakimbizi au foregnar wengine toka Congo,Rwanda,nchi za francofone wamejaa huko.
Kwanini iwe ye akirudi likizo yake which is good,kuna create attention ya manyumbu km vile yesu anarudi.
Mwenyekiti wao pontio pilato kashawasaliti wanajazwa ujinga km anakuja mkombozi huyo lopolopo
 
Mbona wameshakamatwa. Kwani akina Diwani athumani si unawaona wapo nje ya system na inasemekana amekamatwa. Siyo lazima watangaze
 
Kwani si aliyetaka kumuua kafa yeye,kwanini fatuma bado anakuwa na wasiwasi!?
 
Mtu anayeweza kukwambia hichi ulichoandika ni professional rubbish na dhihaka kama mwanaharakati uchwara 😀😀😀 akakutukanisha na taifa zima unaachaje kumnyoosha.

Na sio mara moja ni baada ya maonyo mengi tu.
 
Dada fatuma nae 🤣🤣🤣🤣🤣Ameona hilo tu alindwe lissu wengine je???
 
Baba yenu marehemu alikua muuaji ngoja tumuone huyu bibi ushungi ila huwa nina imani waislam wengi hawana roho mbaya.
Kwahiyo kumbe kweli marais waislamu wa Tanzania ni watu wema tofauti na marais wakristo na ndio maana hata marais wastaafu wakristo wote wamekufa ila waastaafu waislamu wapo hai kwa sababu ni watu wema kama alivyosema Mzee Makamba.

Kama ni hivyo kwa masilahi ya taifa letu Tanzania tufanye kuwa marais wetu wawe waislamu tu maana marais wakristo huwa kuna hali ngumu ya maisha na wengine madikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…