Na muhimu Lissu amrudie Mungu wake maana huwezi kujua kwanini Mungu ampe mtihani ule Lissu wa kupitia mateso nusu ya kufa na kumuacha na ulemavu wa kudumu, unafikiri kwanini mtihani ule hakuupata Mbowe au Lema? Hivyo ni wakati wa Lissu atafakari hilo sana.Pole Sana kwa Kufiwa na Kipenzi chako.
Ndio hatunaye Tena, ameshatangulia iwe kwa corona au kwa kibetri kuisha chaji.
Hizo "abracadabra" wala hazitasaidia chochote.
Mungu aliyemnusuru Lissu dhidi ya Kifo cha Kikatili ndiye Huyo huyo alitoa Kibali Mpendwa wako aende.
Tumrejeshee Sifa, heshima na Shukrani kwa Kuwa amedhihirisha Ukuu wake.
Usiangalie kutaka kumuuwa angalia na mateso aliyopitia Lissu na sasa yukoje.Aliyetaka kumuua Tundu Lissu katangulia mbele za haki kamuacha Lissu anaendelea kula ugali. Atakayejaribu kumuua safari hii, naye atatangulia vilevile. Mungu hadhihakiwi.
Yeye jiwe na vibaraka wake nao walikuwa miongoni mwa hao m62 kibali cha kutoa uhai wa binadamu wenzao walikitoa wapi?uroho,husda,ukatili na kukosa maamuzi sahihi ya kiakili wakidhani m62 wanaweza kuwaswaga kama ng'ombe.Upuuuz mtupu tanzania ina watu milion 62 yeye alindwe kama nan akae kwake hakuna wakumshambulia aishi kama alivyokuwa anaishi awali nchi yetu ni ya amani hata huyo lema alienda huko kwa manufaa yake binafisi na wala siyo mkimbizi
Rudia tena soma aliyoandika fatma ndipo urudi na vijimistari vyako vya hovyo! Uwe na tabia ya kusoma na kuchambua!Wananchi wote tuna haki sawa za kulindwa. Yeye alindwe zaidi kama nani? Familia yake ni raia wa nchi ya kigeni, kwa nini tupoteze raslimali zetu kutoa special treatment kwa raia wa mataifa ya kigeni badala ya kulinda raia wetu? Waende kwenye nchi yao wakalindwe huko.
kama mama yako alivyomsaliti baba yako ukazaliwa wwe nje ya ndoaSerikali ishindwe kuwa bize na maendeleo iwe bize kulinda msaliti Lisu?
Hakuna Rai wa marekani anatembea sehemu isiyo na ulinzi.Serikali ya Marekani itatuma hata Navy Seals wa kulinda raia wake. Wamarekani wako siriazi sana na usalama wa raia wao.
Duuhkama mama yako alivyomsaliti baba yako ukazaliwa wwe nje ya ndoa