Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Hapo unajulikana kama mtanganyika au Mtanzania!?.Tanganyika ina uhalisia?
Tuanzie hapo 🐼
Kama ni Mtanzania ni utaifa usio na uhalisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unajulikana kama mtanganyika au Mtanzania!?.Tanganyika ina uhalisia?
Tuanzie hapo 🐼
Mwambie babaako namamaako cc huku bara tukosaafi kando hukozanzi mnamo fi lakini Dr tulia mwache sio Mzanzibari mwenzie huyuniwakwetu mbeya hangaika huko kwenu lakini zuchu akija mbeya tutamfundisha lughaWazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Mtikila angefufuka angetueleza mengi zaidi. Alitetea Utanganyika mpaka mwisho wa maisha yake.Siyo lazima upande juu ya bati na kupayuka kuwaambia majirani wewe ni baba mwenye nyumba.Tutamuona mkeo tumbo lake linavyoumuka tu.
NB;Fatma anatulisha sumu tuchukie na kuweweseka.
Mkuu kwenye shares umechemka na umedanganya makusudi. Wote tuna nguvu na haki sawa.Hilo ni suala la kijiografia, ukitaja jina TANZANIA akili yako inakuja RAMANI YA TANZANIA kwamaana ya Tanzania Bara mpaka akili yako i-load tena ndio itaongeza hivyo visiwa.
So technically Tanzania ni Tanganyika mpaka uongelee mada ya Muungano ndio unakumbuka kuna kitu kinaitwa Tanganyika.
Kutaka unaware kwamba na sisi tujiite Watanganyika na Kuji pround haina tofauti na ule usawa wa 50/50 wanaolilia wanawake.
Hata Zanzibar ndio ingekuwa bara na hii called Tanganyika ndio ikawa kisiwa kidogo ingekuwa hivyo hivyo Tanganyika ungeona inajualikana kama Tanganyika na Zanzibar ingetumia jina la Tanzania tu.
Kwa lugha nyingine muungano Tanganyika ina Share 90% na Zanziba ina share 10% huwezi ukatafuta usawa hapo yaani likioande la ardhi love hili ulinganishe na ka kikawanja kadogo kanaitwa Zanzibar jinalitalozaliwa lazima lille kwa huyu Mkubwa tu.
MhhFatuma Karume kaonge maneno mazito, yatawauma Watanganyika lakini ni ukwel.
1. Tanganyika imevaa koti la Muungano, ni ukweli! kila kitu cha Tanganyika ni cha Muungano. Balozi Amina anataka '' Formula '' ya kugawana rasilimali za Muungano yaani za Tanganyika ( hajasema kuchangia ni kugawana tu).
Gharama za Muungano zinabebwa na Tanganyika kwa jina la koti la Tanzania; Bajeti ya Zanzibar, madeni ya mikopo ya Zanzibar hata bili za majumbani kwao
Rais SSH alipokabdihiwa madaraka akachukua deni la Bilioni 60 za Umeme akalifanya la Muungano(Tanzania).
Ni haki alichofanya Rais SSH kwasababu tumebeba koti, kama kuna chawa na kunguni hiyo ni juu yetu.
2. Fatma kasema kinachotakiwa ni uwepo wa Serikali ya Tanganyika.
Hili nalo ni la kweli kwasababui Rais wa Koti la Muungano anapatikana tu bila kujadili anatoka wapi.
Fatma anasema Uzalendo kwa maneno ya Uzanzibar yanawafanya wajivunie Uzanzibar, sasa huyu anayejivunia Uzanzibar anauchungu gani na Tanganyika?
Lakini muhimu alichosema ni kwamba Serikali ya Tanganyika itasimamia na kulinda masilahi yake.
Fatma anona wazi Masilahi ya Tanganyika hayana mwangalizi, ni ukweli mchungu lakini ni ukweli.
3. Fatma anasema Wazanzibar wanajivunia Uzanzibar kwanza kabla ya Utanzania.
Ni kweli, na Watanganyika wanapaswa kujivunia Utanganyika kwanza ili wanaohitaji Muungano wauheshimu.
Nakubaliana na Fatma , Wazanzibar hawana uchungu na Muungano kwasababu ya ''free ride'
Mtamsema Fatma lakini ukweli unabaki pale pale, tunahitaji Tanganyika tusimamie masilahi yetu na watu wetu.
CCM wanaotetea huu Muungano ni wanaufaika wa mfumo, mwananchi wa kawaida wa Kadewele, Kidogo Basi, Magoroto , zaidi ya kuumia kwa gharama za kubeba Muungano na Zanzibar anafaidikaje na Muungano!
Wasichotakaueleza Wazanzibar , Tanganyika inanufaika na nini na huu Muungano au kuvaa koti la Muungano?
Hili ndilo akina Fatma hawasemi wanajificha kwamba Wananchi wa pande zote wanataka Muungano!
No! Mwananchi wa Tanganyika haihitaji Muungano , kama anahitaji ni kwa faida gani?
PakiJinja Pascal Mayalla Mag3
Inawezekana hata Zaire inaitwa Congo na Swaziland sasa inaitwa eswatini ni jambo la kawaIda napendekeza jina liwe Nyanza.Halafu tukisha vunja huu muungano, hilo jina Tanganyika tulibadilishe,
Tutafute jina lingine....