Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

Wazanzibari always wako proud kuitwa Wazanzibari, sijui kwanini sisi Watanganyika tukiitwa Watanganyika huwa tunakasirika na kuona kama tunabaguliwa?
Mwambie babaako namamaako cc huku bara tukosaafi kando hukozanzi mnamo fi lakini Dr tulia mwache sio Mzanzibari mwenzie huyuniwakwetu mbeya hangaika huko kwenu lakini zuchu akija mbeya tutamfundisha lugha
 
Siyo lazima upande juu ya bati na kupayuka kuwaambia majirani wewe ni baba mwenye nyumba.Tutamuona mkeo tumbo lake linavyoumuka tu.
NB;Fatma anatulisha sumu tuchukie na kuweweseka.
Mtikila angefufuka angetueleza mengi zaidi. Alitetea Utanganyika mpaka mwisho wa maisha yake.
 
Mkuu kwenye shares umechemka na umedanganya makusudi. Wote tuna nguvu na haki sawa.
 
Mhh
 
Halafu tukisha vunja huu muungano, hilo jina Tanganyika tulibadilishe,
Tutafute jina lingine....
 
Halafu tukisha vunja huu muungano, hilo jina Tanganyika tulibadilishe,
Tutafute jina lingine....
Inawezekana hata Zaire inaitwa Congo na Swaziland sasa inaitwa eswatini ni jambo la kawaIda napendekeza jina liwe Nyanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…