Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar.

Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema,

"Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria.

Wazenji tuna utamaduni wa kubeba HANJAR, hatuzibebi kwasababu ni uvunjifu wa Sheria.

Wamasai waheshimu sheria, Wasibebe silaha hakuna SIMBA ZNZ.

Hakuna haja ya kujilinda na panga ukitoka."- Fatma Karume



Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Halafu analalamika kwa nini kaachwa.....huyu dada ni problematic sana....
 
Wanavunja sheria za jinai?
 
Wa Yemen wao wanatembea na majambia kiunoni na huo ndiyo utamaduni wao
Mwambie fatma huko x

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…