Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

Hivi fikiria afande rama ndio awe mstari wa mbele kumnyang'anya sime masai
 
Mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar.

Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema,

"Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria.

Wazenji tuna utamaduni wa kubeba HANJAR, hatuzibebi kwasababu ni uvunjifu wa Sheria.

Wamasai waheshimu sheria, Wasibebe silaha hakuna SIMBA ZNZ.

Hakuna haja ya kujilinda na panga ukitoka."- Fatma Karume

View attachment 2890893

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Waache sime zao wabebe vilainishi
 
Back
Top Bottom