Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIOWanavunja sheria za jinai?
Sasa wewe unatakaje?Nyie makamanda uchwara huyo si alikuwa shangazi yenu awamu ya tano sasa mnalalamika nini?
Hakuna mtu mnafiki km mzanzibarMbona wazungu mnawaogopa hamuwaambii wafuate hayo masheria ya kiarabu ya kizamani?
Hapo ndio penyewe maana wanachokiita utamaduni wa mzanzibar sio wa wabantu Bali uliletwa na sultan sayid said pamoja na dini ya kiislamuU
Ulipomalizia tu ndio umeharibu kila kitu.
Sometimes huyo shangazi ni chenge sanaMwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema,
"Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria.
Wazenji tuna utamaduni wa kubeba HANJAR, hatuzibebi kwasababu ni uvunjifu wa Sheria.
Wamasai waheshimu sheria, Wasibebe silaha hakuna SIMBA ZNZ.
Hakuna haja ya kujilinda na panga ukitoka."- Fatma Karume
View attachment 2890893
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Sometimes huyo shangazi ni chenge sanaView attachment 2891807Mwanasheria maarufu na mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Fatma Karume, ameunga mkono suala la Wamasai kukatazwa kutembea na Silaha huko Zanzibar.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Fatma amesema,
"Ukibeba silaha Zanzibar unavunja Sheria za Jinai, Utamaduni si sababu ya kuvunja sheria.
Wazenji tuna utamaduni wa kubeba HANJAR, hatuzibebi kwasababu ni uvunjifu wa Sheria.
Wamasai waheshimu sheria, Wasibebe silaha hakuna SIMBA ZNZ.
Hakuna haja ya kujilinda na panga ukitoka."- Fatma Karume
View attachment 2890893
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Kwangu mimi wakipigwa marufuku kwa kusumbua watalii (kama ni kweli) nitaunga mkono. Na siyo wamasai tu, ila beach yote inatakiwa kusiwepo na wasumbufu. Ila kuwapiga marufuku eti kwa kubeba fimbo hiyo siyo sawa.
Jamaa wali nichekesha Sana walivyo kua wana watembezea fimbo wale walinzi uchwara yawezekana walimwaga kisamvu mpira pale pale
Hapo ndio penyewe maana wanachokiita utamaduni wa mzanzibar sio wa wabantu Bali uliletwa na sultan sayid said pamoja na dini ya kiislamu
Wamasai hawatembei na silaha bali wanatembea na fimbo za jadi. Ile ni jadi yao. Umeshasikia wamasai wangapi wameua mtu kwa fimbo? BTW kuna wanaotembea na bastola na tumeshasikia matukio mengi ya watu kuuawa kwa bastola kuliko fimbo.munachoshindwa kufahamu hilo suala la fimbo sio la leo, sheria ipo miaka mingi sana kutoruhusu watu kutembea na silaha. ni vile tu wao wamasai walikua wanapotezewa, ila baada ya matukio ya kuzitumia vibaya sialaha zao kuengezeka kadri ya siku zinavykwenda ndio wamekumbushwa tu kuwa hiyo sheria inawahusu na wao.
Wamasai hawatembei na silaha bali wanatembea na fimbo za jadi. Ile ni jadi yao. Umeshasikia wamasai wangapi wameua mtu kwa fimbo? BTW kuna wanaotembea na bastola na tumeshasikia matukio mengi ya watu kuuawa kwa bastola kuliko fimbo.
Kama wana sheria zao za kipekee ni sawa. Ni lakini bara wanaruhusu na pia wamasai wanaruhusiwa kubeba fimbo na wamekuwa wanabeba fimbo miaka yote.Zanzibar watu hawaruhusiwi kutembea na Bastola.
Kama wana sheria zao za kipekee ni sawa. Ni lakini bara wanaruhusu na pia wamasai wanaruhusiwa kubeba fimbo na wamekuwa wanabeba fimbo miaka yote.
Hakuna watanganyika walaini namna ile, wale ni kama yule afande wenu anae pakuliwa kisamvu mpiraunachoshindwa kufahamu kuwa wale walinzi uchwara ni watanganyika wenzako pia.